Maelfu ya wananchi watoa machozi

Maelfu ya wananchi watoa machozi

Mambo yenyewe.soma habari hiyo hapa chini.
 

Attachments

  • 1442980085342.jpg
    1442980085342.jpg
    74.5 KB · Views: 176
Wanainchi wanaojitambua hao,kweli rais wetu ni Magufuli
 
Ukweli hata Upinzani wanajua Magufuli ni Moto wa Kuotea mbali na si rahisi upinzani kushinda huu uchaguzi. Wanachofanya ni kuendelea kuonekana wanatoa upinzani angalau kuongeza idadi ya wabunge na idadi ya kura za urais vigezo ambavyo ni muhimu kwa ruzuku ya vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom