Maelfu ya vijana wanahitajika kuendesha malori ya mafuta Uingereza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Uingereza ina uhaba mkubwa wa madereva wa malori kwa sasa hali iliyopelekea kuwepo uhaba wa mafuta vituoni na jeshi la nchi hiyo linajaribu kuingilia kati kwa kutoa madereva.

Hivyo mtanzania yoyote mwenye fani hiyo mchongo ndio huo hauhitajiki kuwa na kadi ya chama.

Usijesema ajira hakuna, Uingereza ni rafiki wa Tanzania na CCM pia.
 
Huwezi kutua London bila kuchanja,na watanzania mmemgomea step mom
 

Acheni kuokoteza habari kuwa kazi hizo zipo.

Uingereza imesema ina upungufu wa madereva wa malori ikibidi wataendesha wanajeshi wake si madereva kutoka nchi za magaidi!

Kuendesha gari kwa beberu? Tena lori? Hujui hilo ni bomu? Kwani leseni zetu hata anazitambua?
 
Endelea kukariri, wajanja wa hapo Ufipa akina Mrangi wanachangamkia tenda.

Dunia ni kijiji!
 

MI NASUBIRIA TENDA YA KUGAWA MBEGU ZA KIUME HUKO UZUNGUNI,
 
Nkaendeshe lory nipinduke nalo then lilipuke nife kabla ya umri wangu. Sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…