Maelfu ya UVCCM, watikisa viwanja vya Mwembe Yanga

Dr Nchimbi na Magufuli mwembe Yanga
 
CCM haifai kushika dola kwani haina wabunge wenye uwezo wa kufikiri zaidi ya kupiga pushapu.

Tumechoka na wabunge wa kupiga makofi bungeni bila kuwatetea wananchi.
Tunajua siku zote wabunge wa CCM hawana jipya zaidi ya kusema ndiyooo.
Sifa ya CCM ni pushapu na sio uwezo wa kifikra.
Mwaka huu tutegemee CCM kupeleka wabunge mabomu mara kumi ya awamu zilizopita kwani mwaka huu hata hoja majukwaani hakuna zaidi ya Vijembe na kucheza ngoma na pushapu.
Sijawahi kumwona Nyerere au Karume akipiga pushapu .
Wanatuonyesha uhuni tu majukwaani.
Wacheza disko na wakata mauno hatuwataki bungeni kwani wanaendekeza starehe tu na misifa huku wakipiga makofi bila kujenga hoja.
Tukiichagua CCM na wabunge wake na madiwani wake inabidi watanzania tukapimwemwe akili. Mpaka sasa sijaona MCCM hata mmoja mwenye busara kama mpaka DR Nchimbi amekua mtu wa mipasho basi CCM wapumzike kwani wamelewa madaraka na hawaoni aibu itakapowapata pale Mungu atakapowaweka adui(CCM) wa Watanzania maskini chini ya miguu yao.

CCM ikianguka itakua ni pigo na adhabu kwa wakubwa na watoto wao toka kwa Mwenyezi Mungu. Itakua ni furaha na ukombozi kwa wanyonge walioonewa na kutukanwa kwa nusu karne.
Mungu tuepishe na dhambi ya kuichagua CCM na Magufuli aliyemhonga hawara nyumba ya umma wa watanzania kwa tamaa ya zinaa.

Ccm out!!!!
 
1000 digits Mwenyekiti wako aliend Dubai na hawara yake wa viti maalum kwa pesa ya JMT
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaaa...mkutano watu hawafiki hata mia tano...eti maelfu lol aibuu yenu kazi matusi tuu ndo sera mliyobaki nayo hiyoo

Wakielewa ni kura 500 hizo ! lofa hujui hesabu!?
 
dr nchimbi anajua anachokifanya tarehe 25 ndio mtamwelewa kazi aliyopewa ni kuhakikisha kura za lowasa ndani ya ccm hazipotei hasa kwa hao vijana

Duh! Wee jamaa itakuwa ulisoma Kivukoni Chio cha Makada enzi zile Mkufunzi ni Mzee Kingunge maana umeweka akili Charger hivi sasa unajiliwaza kwa kutumia Power Bank
 
Haya ndio madhara ya kuwa na Id zaidi ya moja, unaanzisha mada then unajijibu mwenyewe.

Uvccm tuna shida sana, shida ni hizi buku 10 tunazozitumikia.
 
watu na akili zao wamewaponda sana CCM haina tena hadhi ya miaka ya 80 kizazi cha kina nchimbi kwishney
 
Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.

ukiacha wale walioletwa na mabasi na waliofwata maslahi binafs wengine wengi walihuzuria kuangalia list ya wasanii waliotajiwa kwenye matangazo ukiachilia mbali kua watu hao wametoka karibu majimbo yote ya dar.
 
Back
Top Bottom