Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Ndio mana niliziona uda mbagala zikiwa zimebeba malofa yaliyovaa T-shirt zimeandikwa magufuri club !! Au magufuri cup imeanza hapo tandika.
Umechukia jamaa kamwaga ubuyu woote:-D???
si mpaka waelewe.
1000 digits Mwenyekiti wako aliend Dubai na hawara yake wa viti maalum kwa pesa ya JMT
Dr. Nchimbi akiwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa kampeni za CCM kule Temeke kumnadi mgombea Abbasi Mtevu alishangaza watu pale alipokuwa anampandisha jukwaani mgombea ubunge bw. Mtevu. Mambo yalikuwa hivi:
Dr. Nchimbi: Mtevu sema machache tu watu wanapenda zaidi kucheza mziki.
Mtevu: Wananchi niendelee kusema au mnataka kucheza mziki? Baada ya kumwaga sera na vipaumbele vyake kwa muda kama wa nusu saa hivi mgombea huyo aliwahoji wasikilizaji wake kama aendelee kumwaga sera au awaache wacheze mziki wa wasanii waliokuwa wakitumbuiza pale
Wananchi: Tucheze mzikiiiii!!! wananchi wakamjibu mgombea ubunge wao kwa sauti ya juu kuwa ni heri akatishe hotuba yake na awaache wacheze mziki.
Mtevu: Haya basi ngoja niishie hapa, lakini naomba kura zenu wote.
Wananchi: Safii, uuuui, ooyaa lete mambo mpaka majogoo.
Dr. Nchimbi ana akili nyingi sana, anafahamu mahitaji ya watanzania waliokuwa wamekusanyika mahali pale.
Nini tunajifunza hapa kutokana na tukio kama hili la Dr. Nchimbi, Mtevu na wananchi?
Hapana mkuu huwa anaiweka kwa mama yako kama sijakoseaNadhani kuna sehemu umesahau kuhadithia sijui nani yule alisema kuna mgombea mikoja inamtoka hovyo bara barani
Hapana mkuu huwa anaiweka kwa mama yako kama sijakosea