MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
- Thread starter
- #21
Ndugu,Aminia CCM mnaondoshwa kama mlivyoondoshwa Pemba ,kwani ilikuwa hivyo hivyo wakifanya mikutano kiwanja kinajaa mwisho wa siku imepigwa na chini ,chezea pemba ,namba tunayoisoma ni sifuri :A S 41:
Sisi hapa tunaongelea Uchaguzi wa Rais wa Tanzania, wewe unaleta uchaguzi wa baadhi ya maeneo ya Tanzania.
Kwani Pemba ni nchi?
Jikite kwenye msingi/mantiki ya thread!