Maelezo ya ku- root Android phones

Mkuu NigaR ninawezaje kuitumia simu yangu aina ya samsung galaxy ace kwenye kompyuta ili kupata internet kama ilivyo nokia ukiwa na nokia pc suite.

kwanza hakikisha simu yako iko connected na internet.
then ukukisha chomeka simu yako na computer nenda
->menu
->settings
->Wireless & Networks
->USB Tethering & Portable Hotspot
->kisha tick kibox cha USB Tethering
->baada ya hapo kitatokea ki notification
->subiri computer itakupa notification kua uko connected na internet
 
Nimefika kwenye hicho kibox cha usb Tethering lakini hakikubali kuweka tiki
 
Nimefika kwenye hicho kibox cha usb Tethering lakini hakikubali kuweka tiki

Nenda
Settings - Applications - development
then chek If the chek box for usb debugging is enabled
if it is Unchek it then reconect tethering it shud work
 
Nenda
Settings - Applications - development
then chek If the chek box for usb debugging is enabled
if it is Unchek it then reconect tethering it shud work

Nimefika hapo lakini bado
 
Nimefika kwenye hicho kibox cha usb Tethering lakini hakikubali kuweka tiki
hakikisha simu yako iko connected na computer ndo uselect USB tethering, bila ya kuconnect haito kubali ku tick
 
Last edited by a moderator:
Nimefika hapo lakini bado

does your computer recognize or reads your phone whenever you connect it .. sababu window 7 haina drivers za Samsung galaxy ace .. so you have to download then install the drivers .. that way Im shure it wil do help
 
wote mnao tumia Galaxy Ace fuateni maelekezo niliyo yatoa hapo juu, nimetoka ku test na Samsung Galaxy Ace ya jamaa yangu imekubali bila shida,
 
Kweli teknolojia imenipita.. Sielewi kitu yaan!!

I got samsung galaxy s advance niki iroot ntapata faida gani?
 
wote mnao tumia Galaxy Ace fuateni maelekezo niliyo yatoa hapo juu, nimetoka ku test na Samsung Galaxy Ace ya jamaa yangu imekubali bila shida,

samahani mi natumia ideos u 8150 naomba unisaidie jinsi ya kubadili fonts au kama kuna app ya kufanya hivyo!
 
mimi kwangu ninikonect inakuwa inachaji tu na sehemu hii SB Tethering & Portable Hotspot
->kisha tick kibox cha USB Te hiko kibox cha kutik kinakuwa kimekufa.....nifanyaje?????
 
ndugu mimi nna samsung galaxy sgt 5570 nimedownload app ya jamiiforum kutoka kwenye store lakini inagoma kufunguka....na sio hiyo tu application nyingi nkidownload zikishainstall zinagoma kufunguka......nifanyaje????

2:nataka nkichomeka line yoyote umu nipatr internet nifanyaje?? hapa natumia ya tigo na walinionganisha ofisini kwao

ahsante
 
wote mnao tumia Galaxy Ace fuateni maelekezo niliyo yatoa hapo juu, nimetoka ku test na Samsung Galaxy Ace ya jamaa yangu imekubali bila shida,

ndugu mimi nna samsung galaxy sgt 5570 nimedownload app ya jamiiforum kutoka kwenye store lakini inagoma kufunguka....na sio hiyo tu application nyingi nkidownload zikishainstall zinagoma kufunguka......nifanyaje????

2:nataka nkichomeka line yoyote umu nipatr internet nifanyaje?? hapa natumia ya tigo na walinionganisha ofisini kwao

ahsante
 
kwanza kuhusu app ya jamiiforums inagoma ku connect katika slow internet especially edges jalibu kuitumia kene 3G kama italeta shida tena.

kuhusu internet just badili line kisha nenda
>SETTINGS
>wireless & networks
>mobile networks
>Access Point Names
>bonyeza menu kisha Add APN baada ya hapo jaza

NAME: Internet
APN: internet
field zilizo baki ziache kama zilivyo, bonyeza menu kisha save rudi back and select your APN , fanya hivyo kwa kil mtandao, kumbuka ukibadili line kama uliweka voda na kutengeneza APN uki badili line ya voda na kuweka line ya voda nyingine APN uliyo tengeneza itabaki lakini ukibadili line ya mtandao mwingine kama hukuweka APN yake itakulazimu kutengeneza APN mpya. pia kuna mitandao baadhi kama vile Airtel wana tuma APN automatically hii inaepusha usumbufu

samahani mi natumia ideos u 8150 naomba unisaidie jinsi ya kubadili fonts au kama kuna app ya kufanya hivyo!

Bro download application inaitwa root manager kutoks android market ... itakusaidia tatizo lako
 
bro nikidownload vitu kutoka kwenye store kwenye hii samsung yangu sgt 5570 vikimaliza kudownload vinaniambia file invalid....tatizo ni nini hapo na nifanyaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…