Maelezo ya ku- root Android phones

Maelezo ya ku- root Android phones

bro nikidownload vitu kutoka kwenye store kwenye hii samsung yangu sgt 5570 vikimaliza kudownload vinaniambia file invalid....tatizo ni nini hapo na nifanyaje??

inakupa error gani? nipe exactly message error unayo pata

inakupa error gani? nipe exactly message error unayo pata

Opera mobile web browser could not be downloaded due to an error.(497)....
meseji hii kama nkodownload opera mini, vimgine kama skype,.4shared ma application nyingi huwa vinasema FILE INVALID
 
Opera mobile web browser could not be downloaded due to an error.(497)....
meseji hii kama nkodownload opera mini, vimgine kama skype,.4shared ma application nyingi huwa vinasema FILE INVALID

nimejibu PM yako mkuu
 
successfuly rooted and upgraded to cyanogenmod 7 (gingerbread 2.3.7)then again cyanogenmod 9(ics 4.0.1)
faida: user interface improved sana
full ram memory use
tethering (unavailable before)
full auto rotation 90 180 270 degrees
installing unofficial apps from market apk and zip
improved perfomance
moving apps to external memory
 
thx mkuu nimebadili memory now vinaingia limekuja tatzo lingne inaniambia phone storage is low hivyo inankatalia kudownload......ni vp sasa ntaweza kuchange vitu viingie kwenye memory card???? nashukuru
 
You can check kwenye settings>application>manage application kwenye list ya downloaded ukiselect app utaona option ya move to sd card
 
kwnye kuroot nkitaka iwetemporarily c inafaa au kwny ideos
 
Kaka samahani simu ya ideos 8150 inauwezo wa kujoin whatsapp? Nisaidieni plz
 
Kaka samahani simu ya ideos 8150 inauwezo wa kujoin whatsapp? Nisaidieni plz

yap 100% unaweza just nenda play store na u searc utaipata install kisha fuata stapes utafanikiwa
 
faida za kuroot ulizoweka bado hazijanitosha kuamuakuiroot cmu yangu na kutake risk
 
Vipi hii, nayo inawezekana ku root?

i727

Samsung-Galaxy-S-II-Skyrocket-i727-01.jpg
 
yap 100% unaweza just nenda play store na u searc utaipata install kisha fuata stapes utafanikiwa

mini galaxy na galaxy ace ipi iko bomba zaidi ya mwenzie...msaada tafadhali napata utata
 
Kwahiyo kaka simu zote zenye android 2.2 zinaweza kuwa rooted kwa njia ya kwanza ya kutumia z4root??
Je nitajuaje android version yangu??
Ndo kwanza ninanunua android phone hapa Sijui lolote na nataka niiweke kabatini kwanza ..
 
Kila simu ina njia yake ya ku root, ila kuna nyingine zinafanana.
Siyo lazima sana kuroot simu kama matumizi yako ni ya kawaida sana.
 
successfuly rooted and upgraded to cyanogenmod 7 (gingerbread 2.3.7)then again cyanogenmod 9(ics 4.0.1)
faida: user interface improved sana
full ram memory use
tethering (unavailable before)
full auto rotation 90 180 270 degrees
installing unofficial apps from market apk and zip
improved perfomance
moving apps to external memory

Now on moded aokp remix cyanogen mod 9 android 4.0.4
 
Mimi nnatumia Black Berry Curve ! Inakuwaje ? Nnaweza ku I root pia ?
 
Back
Top Bottom