Straght to the point. Juzi tarehe 8 kuna simu imekuwa launched inaitwa Realme GT2 Pro. inasemekana ni moja ya simu bora kabisa kwa mwaka huu wa twende twende tu. I could actually go to gsmarena kusoma specs zake ila naomba manguli waliobobea kwenye hizi mambo kama kina Chief-Mkwawa
Kwa layman's language waje kutuelezea hapa ubora wa hii simu interms of everything (pia kama inafaa as a gaming phone) tuweze kupata maarifa wote. natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mkuu realme hawatengenezi simu bora, bali wanatengeneza simu za bei rahisi zenye processor kubwa, wanafanikiwa kufanya hivyo kwa ku cut corner maeneo mengine.
Mfano hii simu inatumia usb 2.0 kama simu yoyote ndogo. Simu kali zinatumia usb 3.1 ama 3.2.
Hivyo kama budget ndogo na unataka simu ya sd 8 gen 1 unaweza consider.
Ila kama unataka real gaming phone subiria Asus Rog 6, Zte Nubia, Lenovo Legion, Xiaomi Blackshark etc sema Asus Rog na Zte Nubia ndio wapo vizuri zaidi.

Oppo Find X5 Pro Android smartphone. Announced Feb 2022. Features 6.7″ display, Snapdragon 8 Gen 1 chipset, 5000 mAh battery, 512 GB storage, 12 GB RAM, Corning Gorilla Glass Victus.
Mkuu realme hawatengenezi simu bora, bali wanatengeneza simu za bei rahisi zenye processor kubwa, wanafanikiwa kufanya hivyo kwa ku cut corner maeneo mengine.
Mfano hii simu inatumia usb 2.0 kama simu yoyote ndogo. Simu kali zinatumia usb 3.1 ama 3.2.
Hivyo kama budget ndogo na unataka simu ya sd 8 gen 1 unaweza consider.
Ila kama unataka real gaming phone subiria Asus Rog 6, Zte Nubia, Lenovo Legion, Xiaomi Blackshark etc sema Asus Rog na Zte Nubia ndio wapo vizuri
Straght to the point. Juzi tarehe 8 kuna simu imekuwa launched inaitwa Realme GT2 Pro. inasemekana ni moja ya simu bora kabisa kwa mwaka huu wa twende twende tu. I could actually go to gsmarena kusoma specs zake ila naomba manguli waliobobea kwenye hizi mambo kama kina Chief-Mkwawa
Kwa layman's language waje kutuelezea hapa ubora wa hii simu interms of everything (pia kama inafaa as a gaming phone) tuweze kupata maarifa wote. natanguliza shukrani zangu za dhati.
Usidanganywe na specifications mkuu, wachina ni wajanja wajanja tu. Tunanunua bidhaa zao kwa sababu ya umasikini tu, ila for sure mchina ni mbabaishaji.