Maelezo ya kina kuhusu vyeo hivi vyatutorialassistant,assistant alecturer,na senior | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maelezo ya kina kuhusu vyeo hivi vyatutorialassistant,assistant alecturer,na senior

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Advocate J, Jul 19, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  naomba mnieleweshe kuhusu ivyo vyeo hapo juu na m2 uwe na elimu gan ili uwe na hicho cheo kama nilivyovitaja?
   
 2. a

  allen mashauri Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  (assistant,assistant alecturer,na senior")......think of accademic status...Udergraduate with GPA 3.8-4.4 or more, Master's degree with credible performance, PhD, Prof
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mimi huwa napenda sana watu wasiochoka kutafuta elimu/maarifa. Ila wewe dogo nimekufuatilia sana posts zako nimegundua kwamba hujui kama hujui haya unayotaka kufahamishwa. Kwanza nakushauri uzinagatie kwanza masomo yako ya darasani. Hivi vitu vingine vitakuwa na maana zaidi kwako ikiwa utafanikiwa kufaulu kujiunga na elimu ya juu. Otherwise, utapoteza muda wako mwingi kwenye mitandao hii halafu mwisho wa siku unafeli, na hayo unayokazania kujua hayatakusaidia kwa lolote. Nasema hivi, ni kwa sababu hata mimi nilishakuwa ktk umri na status uliyonayo sasa.

  Nimeona umekuwa ukijaribu kuuliza vitu ambavyo hata unapojibiwa bado vinakuwa ni giza kwako. Kwa nini usiconcetrate kwanza kwa hicho kilichokupeleka hapo shuleni kwanza? Tambua kuanzia leo, humu ndani wanapita wazee wako, walimu wako, viongozi wako wa dini nk. Hili jukwaa sio la watoto tu, japokuwa kila mmoja ana haki ya kuexpress mawazo yake kwa uhuru. Lakini jitahidi kutambua tofauti zilizopo miongoni mwetu. Dogo soma, haya mambo mengine yatakuja baadaye.

  Vitu kama: Kujua grades za chuo kikuu havikusaidii kwa sasa, wewe unatakiwa kujua grades kama A, B, C, D, E, S na F.
  Lakini pia haikusaidii chochote kujua ni kozi gani wasichana wengi wanachua, au ni shule gani watu mashuhuri wamesomea, au kozi gani watu wanadisko zaidi. Haya ni mambo ambayo hayakusaidii chochote, dogo. Soma uje kuwa mshuhuri mwenyewe usiangalie umashuhuri wa watu wengine.

  Naamini kama una macho na ubongo, umeona na umeelewa.
   
 4. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kweli umempa vidonge vyake coz hata akijua hayo haisaidii kitu, cha msingi ni kujitambua unataka uwe nani by professional.
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Unatujazia server kwa ma-thread yako ya kitoto.
   
 6. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kama vp usichangie kabis threadzng
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ujakua wewe, ma-thread yako ni utoto mtupu.
   
 8. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kama vip tambaa cna shida na majib yko
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nakusaidia wewe, jaribu kuwa mtu mzima na forum hii ikufunze namna ya kuandika hoja zenye mashiko na tija.
   
 10. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  ww unayejiita only83 kama ungekuwa unataka kunisaidia ungetoa majibu ya hoja na co kuleta maneno yasiyokuwa na maana ok!
   
 11. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Dogo kuna mtu kakujibu vizuri...jitahid ufike chuo kikuu kwan automatically utajua utofauti...cha msingi soma usishinde hapa JF bila kuwz critical thinker..otherwise this is due to your childish
   
 12. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  makamuzi unashobo! natangaza vita dhidi yako alaa na tutafuatilia post zako tuone u greatthinker wako humu jf alaaaa....
   
 13. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Unatangaza vita dhidi yangu ili iweje...huo nimekupa ushauri utakaokusaidia dogo...otherwise u cn leave it...
   
 14. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,125
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  ah ah ah ah,watu wanaweza kurushiana jebs humu,ndo raha ya JF,hata serikali wanatamani ifungwe,maana Great Thinkers ni maupeo tu tena yenye hoja zenye vina sio FB mistari yenye vina haina maana,dogo wadau washamsoma,daaaah!!!
   
 15. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  makamuzi ww huna adabu kwanza kama unataka aman futa maneno yak yote ulionikejeli mim sifut ya kwang coz ww ndo mwy shob
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapa ngoja nikimbie damu isije ikanirukia,imeishakuwa hatari
   
 17. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Wapi nimekukejeli,mi nimekupa ushauri..baadae nkaona ww kichwa ngumu nkaamua nkufungulie thread..otherwise am not your enemy..najitahidi kukurekebisha uwe great thinker .ok dogo?
   
 18. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Kama hataelewa hilo somo ulilompa hataelewa tena huko shulen.

  Mm huwa napendelea sana kutembelea jukwaa hl. Kila nikijaribu kuingia nakutana na post ya huyu jamaa.

  Post zenyewe hazina kichwa wala miguu 2naomba ajirekebishe akumbuke cku za uson atakuja kuomba msaada na watu wacmsupport.

  Mm binafsi forum hii n darasa kwangu kwan limensaidia sana mpaka kufka hapa nilipo

  Kama hana post za maana abak kuwa mchangiaj.

  binafs nina mashaka na elimu yake!!!

  Aman kwake!!!!
   
 19. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Thats is the reality..dogo tunamshauri hasikii,JF ni sehemu ya kujifunza...tatizo la dogo anakurupuka tu utadhan yupo face book
   
 20. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  makamuzi, unanishauri niwe greatthinker? ww unabusaraww? ungekuwa unaabusara ungepeleka hoja yako jukwaa husika ala
   
Loading...