NIKOSTRATOS
Member
- Feb 20, 2011
- 39
- 0
Hili domo mnapiga mnapata wapi muda?Hakuna kitu mtafanya!Mnatia huruma sana!Una maana gani kuniuliza hilo swali?mkuu.. mwenzetu wewe ni mzalendo wa nchi gani....?
Hili domo mnapiga mnapata wapi muda?Hakuna kitu mtafanya!Mnatia huruma sana!Una maana gani kuniuliza hilo swali?mkuu.. mwenzetu wewe ni mzalendo wa nchi gani....?
Haisaidii kwasababu watanzania hawaoni hayo,sana sana wataibuka wapiga kelele ambao nao watawekwa sawa kama ilivyokuwa kwa kina Zitto.Nawaonea huruma kweli.Huyu ni fisadi mwingine ambaye ameingia nchini ili kuhalalisha ufisadi wake. Katika mahopjiano na Mwanakijiji si alikataa kata kata kwamba hana kampuni inayoitwa Dowans wala haijui na wala hajawahi kutoa senti yake hata moja. Iweje tena leo aingie nchini ili kuja kudai madai ya kampuni ambayo haijui wala hakuwahi kuweka hata senti moja yake? WIZI MTUPU!
Tapika mkuu then songa mbele,hakuna jinsi.Issue hii ilianza kipindi cha kwanza cha urais wa JK,wananchi wameridhia wamempa nchi ili amalizie yale aliyoyaanza,sasa hamchoki tu na domo?Mnasikitisha sana kwa kupoteza muda,wabongo ndivyo tulivyo!nasikia kichefuchefu sana mimi
Haisaidii kwasababu watanzania hawaoni hayo,sana sana wataibuka wapiga kelele ambao nao watawekwa sawa kama ilivyokuwa kwa kina Zitto.Nawaonea huruma kweli.
Siyo wote wenye uwezo wa kuwekwa kwenye tume za uchunguzi, watafanya wanachotaka, then wanaunda tume ambayo tunadhani iko accountable kwetu lakini kumbe iko accountable kwao na wao ndiyo wanawalipa.Hii hela ilitakiwa ilipwe tangu January, kelele za Watanzania zimewaogopesha hawa mafisadi kuilipa hela haraka kama ilivyopangwa lakini hawajakata tamaa na sisi kama watetezi wa maslahi ya nchi yetu tusikate tamaa mpaka kieleweke.
Siyo wote wenye uwezo wa kuwekwa kwenye tume za uchunguzi,watafanya wanachotaka,then wanaunda tume ambayo tunadhani iko accountable kwetu lakini kumbe iko accountable kwao,na wao ndiyo wanawalipa.Tumeshindwa kuwafanya accountable kwa kutokuwachagua,sasa wamechaguliwa tena,na issue hizi zilianza kabla hata ya uchaguzi,wananchi wanazitambua,wameridhika nazo,tusipoteze muda.
Ni Brigedia jenerali (mstaafu) Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi wa OmanHivi ni wa wapi huyu? Oman au Bahrain?
Mkuu usidhani kwasababu mimi nimgeni kwa kujiunga hapa basi nilikuwa sisomi hii jf,nimeisoma tokea ikiwa Jambo Forum....Kama yanayozungumzwa humu yangekuwa yanafanya kazi,basi tungekuwa na serikali ya tofauti hivi sasa.Nasema ni upotevu wa muda kwasababu haya yamezungumzwa tokea 2006 na bado wananchi wameiridhia serikali iendelee na madaraka kwasababu wamefurahishwa na mwelekeo wake.Kelele zilianza kupigwa tokea enzi za buzwagi,EPA,Richmond ambayo sasa ndo imegeuzwa imekuwa new topic kama unavyotaka tuelewe?Ama kwasababu tu sasa ni dowans na huyo sijui mmiliki anakuja?whats the difference?Richmond aka dowans ilipokuja wananchi walijua na bado wanajua na bado walimchagua JK na serikali yake kuendeleza maendeleo ya umeme nk.Hebu fafanua hapo.
mkuu tubadilishie staili ya hati tufaidi vizuri!Huyu ni fisadi mwingine ambaye ameingia nchini ili kuhalalisha ufisadi wake. Katika mahopjiano na Mwanakijiji si alikataa kata kata kwamba hana kampuni inayoitwa Dowans wala haijui na wala hajawahi kutoa senti yake hata moja. Iweje tena leo aingie nchini ili kuja kudai madai ya kampuni ambayo haijui wala hakuwahi kuweka hata senti moja yake? WIZI MTUPU!
Mkuu usidhani kwasababu mimi nimgeni kwa kujiunga hapa basi nilikuwa sisomi hii jf,nimeisoma tokea ikiwa Jambo Forum....Kama yanayozungumzwa humu yangekuwa yanafanya kazi,basi tungekuwa na serikali ya tofauti hivi sasa.Nasema ni upotevu wa muda kwasababu haya yamezungumzwa tokea 2006 na bado wananchi wameiridhia serikali iendelee na madaraka kwasababu wamefurahishwa na mwelekeo wake.Kelele zilianza kupigwa tokea enzi za buzwagi,EPA,Richmond ambayo sasa ndo imegeuzwa imekuwa new topic kama unavyotaka tuelewe?Ama kwasababu tu sasa ni dowans na huyo sijui mmiliki anakuja?whats the difference?Richmond aka dowans ilipokuja wananchi walijua na bado wanajua na bado walimchagua JK na serikali yake kuendeleza maendeleo ya umeme nk.
Mimi nadhani ni bora tujadili kama mngekuwa ni alternative government mngefanya nini nk,mnakuwa kama think tank na si kama sokoni ambapo hakuna anayemsikiliza mwenziye,ni full mikelele isiyo na mpango,yani domo tuu!Hakuna la maana!
Unless kama kuna hatua za kuchukuliwa ambazo wananchi tunaweza kuzitumia ili kudai haki yetu na uwajibikaji wa viongozi,lakini kama demokrasia ilivyo,kama wengi wa wananchi wenzangu ni wajinga,then kupiga kelele hakusaidii,ni bora kutafuta namna ya kuwafuta ujinga huo hao wananchi ili waelewe next time wakipiga kura na kuona uchaguzi haukuwa wa huru ama wa haki,basi wakatae matokeo nk,kupiga domo tu haisadiii na wataendelea kupeta kwasababu kelele hizo kwa wananchi ni kama kupiga gitaa kwa mbuzi kwani majani ataendelea kuyachana tu mbuzi huyo bila woga wala wasiwasi....Sasa kwani sisi kujua kuwa eti huyo "Mmiliki" wa mitambo yuko bongo ni a game changer?
Prove to me kama hampotezi muda,na uje na ushahidi kama nilivyofanya!
Otherwise mibongo ndivyo tulivyo,hakuna jinsi,sana sana tuigeuze JF iwe pahala pa kupeana dili nk,kwenye siasa tunapoteza muda tu.
Nijuavyo huyu alishawahi kuikana iweje leo awe mmiliki.
Nijuavyo mie huyu bwana kawekeza kwenye kiwanda cha kuchambua pamba lakini kikitumika pia ku-finance mambo ya dini fulani.
Hili kanyaboya coz mmiliki wa Dowans twamjua ni RA. Je, wamemwuliza ilikuwaje wakatoa PoA yenye mamlaka kubwa kiasi hicho kwa RA wakati si mwanahisa wala mkurugenzi wa Dowans.
Tatizo waandishi wetu wengi wanaenda kwenye press conference pasi maandalizi
Hivi Mafisadi,Yeah yeah yeah... tatizo ni kuwa Rostam alipewa hata nguvu ya kuuza mitambo hiyo bila kibali cha Rostam; lakini vile vile Waandishi walitakiwa kutaka uongozi wa Portek nao uwakilishwe kwenye mazungumzo hayo si wana asilimia 40 ya Dowans Tanzania Limited? Patanoga hapo