Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Membe unahusika 100% na hiyo kampuni ya MEIS na wakati wa kesi zote hizo umekuwa karibu sana na hata kuhonga hata mpaka ma jaji.Ushahidi upo!!!pia umekua ukijikanganya juu ya suala hilo.Jee ujenzi umeanza wa kiwanda?umekwama wapi?
Mkuu BONGOLALA, asante sana kwa taarifa. Mwaga zaidi facts tafadhali.
Maana kuna watu wa Membe wale wa buku 7 humu wamekazania tu hahusiki.
 
Firm Sued Over U.S.$36 Million Double-Dealing


Dar es Salaam — The government of Libya has instituted asuit against the Meis Industries Company Limited (MICL) together with a courtbroker, Mustafa Nyumbamkali, for swindling over Tsh57.3bn (about $35.97m).

In a suit lodged recently by the Embassy of Libya toTanzania in the High Court of Tanzania, both defendants are said to have hadwithdrawn the colossal sum from Tanzania Investment Bank (TIB) to the detrimentof the Libyan Government.

The said Libyan embassy has engaged two counsels, TaherMuccadam of Muccadam & Co. Advocates, and Gabriel Mnyele of Marando andMnyele & Co. Advocates, in executing Civil Case No. 225 of 2012 of the HighCourt ad Dar es Salaam for the purpose of recovering the monies been dishedfrom the account of the government of Libya within the said bank.

Accordingly, the MICL is alleged to have been credited with$17.36m in its account no. 004200000447902 by TIB within the same bank, whileMr. Nyumbamkali was also credited Tsh24.22bn ($15.21m) at his account no.011103026411 within the National Microfinance Bank (NMB) Temeke branch, Dar esSalaam, as well as Tsh5.34bn ($3.35m) paid to MICL as costs.

The lawyers for the Libyan government maintained that theirclient sustained loss in terms of foreign exchange amounting $17.36m andfurther loss in terms of local currency amounting Tsh29.57bn ($18.56m) therebytotaling Tsh57.35bn (about$36m).

Under any circumstances, the counsels for the Libyangovernment have sought refund of such monies to their client plus generaldamages not less than $200m.

Notwithstanding, the counsels have stressed that the Libyangovernment's claims against the company and court broker, jointly and severallyis for a declaration that a verdict of Judge Samwel Karua in Civil Case No. 124of 2010 be declared null and void and be set aside, together with the decreeand any subsequent rulings and orders emanating therefrom for having beenfraudulently obtained and for lack of service to it for the order to pay bothof them.

It should be noted that the MICL is a joint venture betweena businessman, Islam A. Saleh, who purported to entered into InvestmentAgreement with the Great Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya forestablishment of a cement industry in Lindi, on one hand, and the Minister forForeign Affairs and International Cooperation, Mr. Bernard Membe, on the otherhand, who is said the service of Civil Case No. 124 of 2010 before Judge Karuato the Libyan Embassy was channeled through his ministry.

Minister Membe had on 3rd July, 2009, written a letter tothe Prime Minister of Libya, referring their conversation in respect of creditfacility of Tsh28.9bn (about $18.15m) laying in TIB as to be extended to thecompany for the proposed cement factory in Lindi.

An investigation conducted proves the money to belong to thegovernment of Libya held in TIB following failure of the government of Tanzaniato pay Libya for oil supplied in 1983 on credit basis.

Anyway, the counsels have stated in the plaint against thefirst two defendants that the company filed its suit on 13th September up to17th October, 2010, when Judge Karua gave his order of service of the suit tothe Libyan diplomatic office through Membe's ministry.

"The Ministry of Foreign Affairs and InternationalCo-operation has no power to serve Court Summons to anybody under the CivilProcedure Code, Cap. 33 Revised Edition 2002 of the Laws of Tanzania," thelawyers stressed in the plaint and further averred to be fraudulent move of thecompany in misleading the court and deny the plaintiff a right to defenditself, thus making all the proceedings null and void.

Notwithstanding, they said the suit was heard ex-partewithin very short time and judgment given within six days for the company todish the colossal money from TIB and further awarded general damages of $14m.

 
Taharuki hiyo ndiyo ilipelekea balozi wa Libya nchini kutangulia mbele za haki eh?
 
Kumbukeni kuwa Serikali ya Libya tayari imefungua kesi mahakamani kudai kulipwa na serikali ya Tanzania hizi pesa zake

Ni kwamba Bernard Membe apige ufisadi wake halafu watanzania tulipe...huyu anataka Urais ili ajifiche kwenye kichaka cha Urais.
 
Benard Camilius Membe amekuwa akijaribu kuzungumzia ufisadi na nia yake ya kupambana na ufisadi kila apatapo nafasi ya kuzungumza. Hata hivyo anapaswa kuelezea tuhuma dhidi yake kuhusu fedha zaidi ya dola za marekani 20 milioni za mkopo uliorekebishwa kutoka Libya. Suala hili limekuwa likisemwa chini chini na hivyo membe mwenyewe kulipotezea lakini ni jambo lenye kuhitaji Maelezo ya kina kabisa.

Msaada huu ulikuwa uwekezwe kwenye kiwanda cha Simenti mkoani lindi ili kuongeza uzalishaji wa simenti nchini na kuongeza ajira kwa Watanzania. Je kiwanda kimejengwa? Je ndugu Membe anahusika vipi na tuhuma hizi kuhusu fedha za Libya? Kwenye nchi zenye misingi thabiti ya uwajibikaji Waziri Membe alipaswa kuwekwa kikaangoni na Bunge kueleza jambo hili. Kwa kuwa anagombea Urais ni muhimu alisemee.
 
Wakuu, Bilionea Dangote yeye kila kitu anaweka wazi kuhus mradi wake wa kiwanda cha saruji Mtwara na picha kibao tunaona jinsi anavyofuatilia mradi wake.

Mh. Membe na 'wapiga kura' wake na mmiliki wa kiwanda watupie picha za maendeleo ya ujenzi wa kiwanda Lindi tuone kama utakamilika kabla ya December 2015 na pia dola za kimarekani $US 20 Millioni kujenga kiwanda cha saruji ni pesa isiyotosha kabisa maana kiwanda cha Dangote bajeti ni mamia ya dolari za kimarekani isije kuwa 'mradi wa Membe' ni 'wakutakatisha' pesa wajanja wapate kuzitafuna? majibu tafadhali.
 
MEIS ni kampuni ya wapi na wamiliki wake ni wepi?Kwanini serikali ya libya itake fedha hizo apewe MEIS?why MEIS?Na kama libya ilikuwa inasisitiza kuwa MEiS ipewe pesa hizo upesi kama Membe anavyosema kwanini baadaye igome kusaini mkataba ule wa MEIS kupewa fedha mpaka kupelekea MEIS kwenda mahakamani?
 
'Dept Swap' neno hili Mh.Membe amelirudia mara kibao kwenye 'maelezo rasmi', je ni neno sahihi au makusudi ili kuichanganya Google/internet search? Neno 'Debt Swap' DEBT SWAP lina leta maana Zaidi kuliko DEPT SWAP alitotumia Mh. Membe, wadau kuuliza si ujinga naomba ufafanuzi.
 
4.0. Nyongeza hii ya mkataba ilitamka bayana katika kifungu No.4.02, kwamba, fedha zilizokuwa katika akaunti tajwa, zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua wao wenyewe, ambaye ni kampuni ya MEIS INDUSTRIES LIMITED kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha Saruji Lindi. Kwa mujibu wa nyongeza hii, mkopo ulipaswa kulipwa ndani ya miaka sita, na baada ya hapo, fedha hizo zirejeshwe na ziendelee kukopeshwa Watanzania kwa ajili ya miradi mingine ambayo Serikali za Libya na Tanzania zitakuwa zimeridhia.


7.0. Serikali ya Tanzania, TIB na Mwekezaji walitia sahihi mkataba huu na kuupeleka Libya ili serikali ya Libya ipate kuweka sahihi. Kwa sababu ambazo hazikufahamika, serikali ya Libya haikutia sahihi mkataba huo.

Hapo kuna maswali mengi kuliko majibu.
 
Tuweke siasa pembeni: Membe alijihusishaje na kudai pesa hizo kama hakuwa na maslahi. Hakumbuki UN ilitoa katazo dunia nzima fedha/mali za Libya zisichukuliwe wakati huo, kwa kuwa hawakuwa na serikali. Hilo vipi? Kama anakiri Libya haikusaini mkataba huo pesa hiyo ilitokaje? Je, Mwanasheria Mkuu wa serikali hakumuonya juu ya suala hilo?

Lakini badala yake Membe alimwandikia barua ya kurasa nyingi ya kejeli haswa, na kwa kutumia mahakama pesa hiyo ilitoka. Nusra Mkurugenzi wa NMB akamatwe kwa amri ya mahakama kwamba amedharau amri "halali" ya mahakama. Amri gani? Kutoa fedha kwa kampuni ya MEIS na Membe. Huu ulikuwa wizi kama wizi mwingine wowote. Maelezo haya ya Membe yanathibitisha mtu huyu ana matatizo. Haraka ilitoka wapi hadi watu kupigana vikumbo mahakamani. Ni vyema anyamaze. Aibu!!!
Hivi Membe ndiye aliyefungua kesi Mahakamani? Yeye kajibu uzushi na shutuma zilizotolewa na zitto hayo mengine kama watu hawaridhiki si waende mahamani kupinga hukumu au kudai hivyo vielelezo vya ziada?
 
Emh nielewesheni kidogo, hapa kama kaiba atakua kawaibia libya au tanzania?
 
Mwizi ni mwizi tu,Membe unajitahd sana kujisafisha ila husafishiki.Wewe umekua mtumiaji mzuri sana wa fedha kwenye kutafuta wadhamini mikoani,nadhani hakuna mgombea anaetumia hela kama wewe.Alafu unasema wewe si fisadi,Hizo hela umetoa wapi?
 
Membe kwa kushikiana na jaji S.V.G.KARUA ambaye alitoa hukumu ya madai iliyofanikisha kuchota hizi fedha toka TIB kupitia kampuni ya kitapeli iitwayo MEIS INDUSTRIES LIMITED anahusika kwa asilimia 100. Aliwahi kusimamia uchotwaji wa hizi hela kwa ajili ya kujenda kiwanda hewa cha cement huko Lindi ambacho hakijaanza kujengwa tangu 2012 fedha zilipo chotwa TIB kupitia kampuni hii ya kitapeli. Utawala wa Libya ukiimarika nchi lazima itadaiwa hizi fedha
 
4.0. Nyongeza hii ya mkataba ilitamka bayana katika kifungu No.4.02, kwamba, fedha zilizokuwa katika akaunti tajwa, zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua wao wenyewe, ambaye ni kampuni ya MEIS INDUSTRIES LIMITED kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha Saruji Lindi. Kwa mujibu wa nyongeza hii, mkopo ulipaswa kulipwa ndani ya miaka sita, na baada ya hapo, fedha hizo zirejeshwe na ziendelee kukopeshwa Watanzania kwa ajili ya miradi mingine ambayo Serikali za Libya na Tanzania zitakuwa zimeridhia.


7.0. Serikali ya Tanzania, TIB na Mwekezaji walitia sahihi mkataba huu na kuupeleka Libya ili serikali ya Libya ipate kuweka sahihi. Kwa sababu ambazo hazikufahamika, serikali ya Libya haikutia sahihi mkataba huo.

Hapo kuna maswali mengi kuliko majibu.

Alafu mtaka uraisi anataka tuamini kijinga jinga kuwa ni sawa.
Mwenye pesa kakataa kusaini -je hizi pesa zilitokaje Benki at first place kama mwenye akaunti hajaidhinisha?.
Mahakama zetu ,Mwanasiasa na Mabenki wameshakuwa Mafia wa Mali za Umma.
Kampuni Binafsi Serikali inawezaji kuwa Mdhamini wa Mabilioni ya Dola za Marekani kiasi hicho?
 


    • ..................................
      4.0. Nyongeza hii ya mkataba ilitamka bayana katika kifungu No.4.02, kwamba, fedha zilizokuwa katika akaunti tajwa, zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua wao wenyewe, ambaye ni kampuni ya MEIS INDUSTRIES LIMITED kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha Saruji Lindi.
    ..................................................

    12.0 Wakati haya yakiendelea, ilijitokeza kampuni ya Mohamed Enterprises Limited ikidai kwamba ina haki juu ya fedha hizi.

    ===================================================

    LA KWANGU: Hivi hapa hadanganywi mtu kweli!!? Huyu wa 12.0 aliingiaje kwenye sakata hili?.



 
Emh nielewesheni kidogo, hapa kama kaiba atakua kawaibia libya au tanzania?
Kawaibia hawa....hapa (Boldblue):

  • 16.0 Mimi (Mh.Membe)kama Mbunge kutokea Mkoa wa Lindi, na kama Waziri mwenye dhamana ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, nalifuatilia kwa karibu suala hili kwa sababu mbili:-

    (i) Kwanza, kuanzishwa kwa mradi huu kutawanufaisha wapiga kura wangu, na Watanzania kwa ujumla kwa kuinua uchumi wetu na kuongeza ajira hasa wa Mikoa ya Kusini ambayo imeachwa nyuma kwa muda mrefu. Utafiti unaonyesha kuwa Mikoa ya Lindi na Mtwara ina utajiri mkubwa wa mali ghafi ya Saruji, na kwa hiyo upo uhakika wa kupata saruji bora na kwa bei nafuu sana.



 
Back
Top Bottom