mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
hayo maneno kayasema Yesu. Labda upingane naye mkuu sio mimi.Fanya uhame huko uliko naona uko ktk Giza totoro la upofu uliopindukia yaani Yesu ahukumu watu jamani hivi IQ ( Measure of Intelligence ) yako inafanya kazi vizuri
Wakati Yesu anahukumu watu mamlaka hayo kampa nani ?
Wakt yeye anahukumu watu M\Mungu atakuwa yuko wapi ?
Kwanini nyingi mnanyanyua sana Yesu kuliko hata Mungu aliyemuumba ?
Dah inanisikitisha sana Imani yako uliyonayo natamani ubadilike lakini naona mda muafaka bado haujafika lakini iko siku utakuja kunielewa namaanisha nini ? Mungu akulinde na akuonyeshe njia ya sawa sawa ili uweze kuifuata na kuiamini .....!hayo maneno kayasema Yesu. Labda upingane naye mkuu sio mimi.
nyongeza
'' Nimepewa mamlaka Yote mbinguni na Duniani....''
mimi namuamini bila shaka mkuu.
usinisiktikie mimi, msikitikie Yesu aliyesema hayo.Dah inanisikitisha sana Imani yako uliyonayo natamani ubadilike lakini naona mda muafaka bado haujafika lakini iko siku utakuja kunielewa namaanisha nini ? Mungu akulinde na akuonyeshe njia ya sawa sawa ili uweze kuifuata na kuiamini .....!
Siku zote kaa ukifahamu mbinguni ni sehemu ya ghali mno huwezi kwenda hivi hivi lazima uwe umejiandaa vizuri na katika safari ya kuelekea huko watu wengi hushika njia ya tofauti wakidhania ndio njia itakayowafikisha ktk uzima wa milele ndugu upo njia panda chagua mwenyewe unapita kulia au kushoto ...!usinisiktikie mimi, msikitikie Yesu aliyesema hayo.
Hapo unaoption moja tu. Umuamini kama mimi au umbeze kama masadukayo na mafarisayo.
hakuna porojo wala maneno ya huruma hapo.
Kama unamuamini Yesu amini na maneno yake usijifiche kwenye vichaka vya misimamo mikavu ya kidini.
SIJAWAHI kusikia jina la Mtume au jina la mtu yoyote linaweza kutoa Pepo/kuponya.Nalifahamu kuliko ww ndugu lakini napinga kwamba linauwezo wa kufanya kitu chochote cha muujiza tatizo ni kwamba kuna nguvu ya ziada huwa inatumiwa pamoja na jina hili lakini wengi wenu hamjui
Hutumia super natural power hutajwa jina kama kivuli tu cha kufichia mambo yao lakini ukiwa na nyenzo hizo unaweza ukatoa pepo kwa jina hata la Mbwa au MbuziSIJAWAHI kusikia jina la Mtume au jina la mtu yoyote linaweza kutoa Pepo/kuponya.
em niambieh ni NGUVU Gani hiyo ambayo hutumia hilo jina???
Muache mkuu, kipaumbele chako sio chake. Alafu pia,JF kila mtu yupo huru kuongea/kuandika/kuchangia anachokitaka kama kauli mbiu ya JF inavyosema....MTU umetumia nguvu kubwa kuandika thread ili ielimishe watu bure,_halafu MTU anakuja from nowhere anaandika simple tu 'Yesu ndio kila kitu'...pathetic
sasa na wale wengine ambao siyo wachungaji ni wahumini wa kawaida nao hutumia hizo super natural?Hutumia super natural power hutajwa jina kama kivuli tu cha kufichia mambo yao lakini ukiwa na nyenzo hizo unaweza ukatoa pepo kwa jina hata la Mbwa au Mbuzi
jina sio ishu jiulize swali moja kama kweli ni jina ndio linalotoa mapepo kwanini kuwe na watu special ndio wanafanya kazi hiyo kwani wewe ukisema kwa jina la Yesu na Mchungaji fulani utofauti unakuwa wapi ?
Yaliyo chini ya kapeti huyajui Mkuu ukitaka kuyajua kwanza fungua kifua chako bila kuweka vikwazo utanielewa
'' Hakuna mtu anayeweza kwenda kwa Baba Bila kupitia kwangu'' Yesu.Siku zote kaa ukifahamu mbinguni ni sehemu ya ghali mno huwezi kwenda hivi hivi lazima uwe umejiandaa vizuri na katika safari ya kuelekea huko watu wengi hushika njia ya tofauti wakidhania ndio njia itakayowafikisha ktk uzima wa milele ndugu upo njia panda chagua mwenyewe unapita kulia au kushoto ...!
Ndugu imani ya kweli humuweka mtu salama hapa duniani hata ktk maisha ya kesho mbinguni kwaiyo siwezi kukulazimisha kuamini ninachokisema lakini jaribu kufuatilia na kufanya Research uje kugundua Yesu wako wawili ni jukumu lako kumjua yupi ni wa kweli na umfuate na yupi ni photocopy nahisi kama bado unamuamini Yesu ambaye ni Photography'' Hakuna mtu anayeweza kwenda kwa Baba Bila kupitia kwangu'' Yesu.
Kama unamjua Yesu au umewahi kusoma maelezo yake, huna excuse '' Huwezi kwenda huko mbinguni bila kujali unapitia njiangani huku unamkana Yesu''.
Ndio maana tunasisitiza humu, ili mwisho wa siku tupunguze lawama, '' hatukujua!!!!!!"
huyo Yesu mwingine nje ya maelezo ninayomquote, unampata wapi na kwa ushahidi upi.Ndugu imani ya kweli humuweka mtu salama hapa duniani hata ktk maisha ya kesho mbinguni kwaiyo siwezi kukulazimisha kuamini ninachokisema lakini jaribu kufuatilia na kufanya Research uje kugundua Yesu wako wawili ni jukumu lako kumjua yupi ni wa kweli na umfuate na yupi ni photocopy nahisi kama bado unamuamini Yesu ambaye ni Photography
mkuu nimeweka muadhatein kwa maana ndizo sura rahisi unaweza ukamfundisha mtu hata mara kadhaa akahifadhii kuna hekma kubwa kwa sura hizo kuwa na ulaini wa kuhifadhi,Umesahau jambo moja vile vile mtu akisima AYATU QURSIY ( 2:255 Quran ) na Aya 2 za mwisho ktk Surat Baqara ( 2: 284 - 286 ) hizi nazo zinamtosheleza akazisoma hizi tu au moja katk hizi bila hata ya ( Muawidhatein )
Mkuu huwa naheshimu sana dini za wengine lakini kwa hapo kwenye yesu kuhukumu watu nimetamani hata kudeletia mbali hii thread nzima maana kumbe unajua jina la yesu ila humfahamu Yesu ni nani wakristo wenzio watakusaidia,vyovyote mtazamo wako unavyotaka uwe kumuhusu ila.
Pasipo yeye huwezi lolote.
Yeye atawahukumu wanadamu wote.
Yeye atawafufua wafu wote wema na waovu ili wasimamw mbele ya kiti cha hukumu.
hayo sio maneno yangu ni yake Yeye mwenyewe, wala mimi sihusiki. Mimi naamini kila anachosema na sina shaka nae mkuu.
Fanya uhame huko uliko naona uko ktk Giza totoro la upofu uliopindukia yaani Yesu ahukumu watu jamani hivi IQ ( Measure of Intelligence ) yako inafanya kazi vizuri
Wakati Yesu anahukumu watu mamlaka hayo kampa nani ?
Wakt yeye anahukumu watu M\Mungu atakuwa yuko wapi ?
Kwanini nyingi mnanyanyua sana Yesu kuliko hata Mungu aliyemuumba ?
Mathayo 25:31-Mkuu huwa naheshimu sana dini za wengine lakini kwa hapo kwenye yesu kuhukumu watu nimetamani hata kudeletia mbali hii thread nzima maana kumbe unajua jina la yesu ila humfahamu Yesu ni nani wakristo wenzio watakusaidia,
Mathayo 7:21-23 Neno:
Mfuasi Wa Kweli
21 “Si kila mtu anayesema, ‘Bwana, Bwana,’ ambaye ataingia katika Ufalme wa mbinguni ila ni wale wanaofanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22 Siku ile itakapofika wengi wata niambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’ 23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’
Kutoka 20:3-5 Imeandikwa "Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao."
Tubu mkuu maana hadi hapo uko mbali na Yesu wako pia watafute wakristo wakufundishe ni yupi mungu ambaye ni hakimu
Rakims
hakuna mstari unaosema."watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Wengi wao huamini ya kwamba Yesu ndio muumba wa kila kitu siku atakapo wakataa na kumuomba radhi muumba wake ndio watajua
Wewe u nani mpaka umhukumu mtu jamani!Siku zote kaa ukifahamu mbinguni ni sehemu ya ghali mno huwezi kwenda hivi hivi lazima uwe umejiandaa vizuri na katika safari ya kuelekea huko watu wengi hushika njia ya tofauti wakidhania ndio njia itakayowafikisha ktk uzima wa milele ndugu upo njia panda chagua mwenyewe unapita kulia au kushoto ...!
Mtoto wa jirani yangu anataka kuolewa na jini .. Ni huzuni linamtesa hilo hatari halitaki asome shuleKivip mkuu?