Maelezo kuhusu ulipaji wa supplementary exams

evocom

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
258
236
poleni na kazi wadau
napenda kujua utaratibu wa kulipia supplemental exam katika vyuo vyetu ukoje?
kila chuo kina utaratibu wake au kuna kiwango cha ulipaji?
maana chuo chetu unalipia 50,000 endap utapata.
naombeni maelezo kuhusu hiyo.
asbuhi njema
 
Mkuu mbona ndo nasikia kama sup. zinalipiwa?

Ngoja waje wanaliopia/waliokua wanalipia
 
Duuu hatari sana kwa kwel hapo hawatend haki yani saplimentary unalipia huo ni uwiz wazi wazi hata hiyo MKUU wa chuo aangalie Mara mbili mbili
 
Duuu hatari sana kwa kwel hapo hawatend haki yani saplimentary unalipia huo ni uwiz wazi wazi hata hiyo MKUU wa chuo aangalie Mara mbili mbili
Asa hapo wizi uko api ani we ufeli af mtu ahangaike kukutungia mtiani na kukusahihishia smtym na kufundisha bule tuuuuuu
.........acha kufeli uepuke hii kitu
 
Asa hapo wizi uko api ani we ufeli af mtu ahangaike kukutungia mtiani na kukusahihishia smtym na kufundisha bule tuuuuuu
.........acha kufeli uepuke hii kitu
Kwani hapokei mshahara!! Mtiani anatunga kwa garama zake au za chuo !!! Hivyo vyuo vingine ambavyo vinafanya sap bure kwani havitungi mtihani!!! Watu wapo chuo ada, malazi na mambo mengine wanajilipia kwa miangaiko yao wenyewe so ww huwez ona ni shida maana swala LA pesa kwako lipo vizur... Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaaa
 
Back
Top Bottom