PSPF ni kwaajili ya wafanyakazi wa Central gvt na executive agencies.
LAPF ni kwaajili ya wafanyakazi wa Local gvt!
Mifuko yote hii imefanana kwa kila kitu na wanatumia formula moja wakati wa kukotoa mafao!
Huwezi kuhama, mpaka hapo SSRA watakapotoa muongozo!