Maelezo kuhusu Android 3G tablet phone

Maelezo kuhusu Android 3G tablet phone

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,101
Reaction score
441
samahani nlikua naulizia nimeona sehem wanauza Android 3G tablet phone na nlikua naulizia kama kuna mtu anaweza kunihabarisha ndo inakuaje mana natamani kununua na bei ni 180.Ntashkuru mkinijulisha ndo znakuaje
 
Hiyo 180 ni dola au euro
samahani nlikua naulizia nimeona sehem wanauza Android 3G tablet phone na nlikua naulizia kama kuna mtu anaweza kunihabarisha ndo inakuaje mana natamani kununua na bei ni 180.Ntashkuru mkinijulisha ndo znakuaje
 
achana nayo itakusumbua kuwa mvumilivu tablet za bei rahisi zinakuja nyingi. kwenye maonyesho ya computer nyingi zimeoneshwa. kuna za acer, huawei na samsung
 
So kaka kama nahtaj smartphone ya bei nzuri na yenye kukubali apps nyng kama whatsapp,skype,instagram na nyngnezo,wanshauri ipi??
 
maonyesho hayo yanafanyika wapi na lini?
 
achana nayo itakusumbua kuwa mvumilivu tablet za bei rahisi zinakuja nyingi. kwenye maonyesho ya computer nyingi zimeoneshwa. kuna za acer, huawei na samsung
maonyesho hayo yanafanyika lini na wapi?
 
So kaka kama nahtaj smartphone ya bei nzuri na yenye kukubali apps nyng kama whatsapp,skype,instagram na nyngnezo,wanshauri ipi??

Ninayo mm nauza ni yxtel g928 ina os ya android v4.1 unaweza pia kui google, ukiitaka ni PM
 
Back
Top Bottom