Maelezo Juu ya Google Adsence kwa wanaojiunga

Maelezo Juu ya Google Adsence kwa wanaojiunga

ALL IN ONE

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
272
Reaction score
190
Salamu wakubwa habari za majukumu.
Swala hili limekua likiongelewa sana hapa jukwaani ila mpaka saivi kwangu sijapata suruhisho lililo sahihi kwa kujua je? ni sehemu gani sahihi kwa mdau anayetaka nunua account hizi za adsene (yaani hosted na non hosted)..

Maswali kwa upande wangu

1. Vigezo gani mtu anafaa kufwata pindi anavyotaka nunua account hii ya adsence yaani tukiachana na kuapply kawaida?

2. Je? kama unahitaji nunua hizi account maswali yapi muhimu ya kujiuliza kwa muuzaji pia kumuuliza ili uweze kujihakikishia juu ya hiyo account?

3. Je? kuna verified seller wa adsence account anayetambulika? Kama yupo au wapo msaada kutolea maelezo.

4. Mwisho kama unamaelezo ya kina juu ya hili saidia hapa tuweze kujua

Nashukuru wana jukwaa!!!
 
Back
Top Bottom