Habari..
Raman ipo hivi vipimo tutaweka baadae nkipata fundi
Ukimodify nataka iwe hivyo mbele afu nijenge nusu nusu
Mpauwo nafikiria uwe hivi
Je , wataalamu inawezekana .
Lengo ni mwakani nije kuunga kirahisi inakuaje wakuu.. mawazo yenu ni muhimu
Nb. Maelezo yamepangwa kulingana na picha zilivyo pangiliwa .