Pamoja na kubandika picha zenye SURA za watu ukutani kuongeza idadi ya watu bado haikutosha. Ushauri wa bure kwa mama yetu mama Mwanaasha ni kuwa baada ya mzee kustaafu asijiingize kwenye siasa za majukwaani ataishia kupata aibu. Ungekuwa mkutano wangu ningewanunulia Azam Cola na biskuti wote waliohudhuria maana ni wengi mno
Hauko mbali na ukweli mkuu.. Mi nikajua alivyowaziria kuingia kwenye darasa la matope ndo chaliii kumbe mabolizozo bado wanamfwata tuuu... Af bwana nimegundua shule kitu kizuri sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.