Maduka ya wahindi yachomwa Kinshasa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883

Kituo cha idara ya uchunguzi mjini Bangalore India

Umati wa watu Alhamisi umeshambulia biashara na magari ya wafanyabiasha raia wa India katika mji mkuu wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, polisi wamesema.

Ghasia hizo zinaonekana kuwa sehemu ya mzozo unaoendelea kutokana na kifo cha mwanafunzi raia wa Congo, aliyefariki katika rumande ya polisi nchini India wiki iliyopita.

Biashara kadhaa za raia wa India ziliporwa mjini Kinshasa wiki iliyopita, kufuatia kifo cha Joel Malu, mwanafunzi katika mji wa India wa Bangalore.

“Watu wasiokuwa na ustaarabu, haswa vijana, wamekuwa wakipora maduka na maghala yanayomilikiwa na raia wa India,”mkuu wa polisi mjini Kinshasa, Sylvano Kasongo amesema.

Polisi waliamata watu watatu na kupata marobota 40 ya nguo zilizoibwa, Kasongo ameongeza.Malu alikamatwa huko Bangalore tarehe 1 Agosti, kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya.

Polisi wa India walisema alilalamika kwamba ana maumivu ya kifua na alipelekwa hospitali, ambapo alifariki baadaye. Kifo chake kilizusha mapigano kati ya waandamanaji na maafisa wa polisi wa Bangalore siku iliyofuata.
 
Jicho kwa jicho wamezidi kuwadharau na kuwadhulumu waafrika.
 
Hapa busara inahitajika. Balozi za nchi zote mbili wafanye kikao cha dharura. Hali hi inatokana na uzembe wa ubalozi wa taifa la congo kule India. Wangehangaika kupata majibu ya ukatili alofanyiwa mwenda zake akiwa kizuizini. Kimya chao kimewakera wa congo
 
Kituo cha idara ya uchunguzi mjini Bangalore India

Kituo cha idara ya uchunguzi mjini Bangalore India

Umati wa watu Alhamisi umeshambulia biashara na magari ya wafanyabiasha raia wa India katika mji mkuu wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, polisi wamesema.

Ghasia hizo zinaonekana kuwa sehemu ya mzozo unaoendelea kutokana na kifo cha mwanafunzi raia wa Congo, aliyefariki katika rumande ya polisi nchini India wiki iliyopita.

Biashara kadhaa za raia wa India ziliporwa mjini Kinshasa wiki iliyopita, kufuatia kifo cha Joel Malu, mwanafunzi katika mji wa India wa Bangalore.

“Watu wasiokuwa na ustaarabu, haswa vijana, wamekuwa wakipora maduka na maghala yanayomilikiwa na raia wa India,”mkuu wa polisi mjini Kinshasa, Sylvano Kasongo amesema.

Polisi waliamata watu watatu na kupata marobota 40 ya nguo zilizoibwa, Kasongo ameongeza.Malu alikamatwa huko Bangalore tarehe 1 Agosti, kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya.

Polisi wa India walisema alilalamika kwamba ana maumivu ya kifua na alipelekwa hospitali, ambapo alifariki baadaye. Kifo chake kilizusha mapigano kati ya waandamanaji na maafisa wa polisi wa Bangalore siku iliyofuata.
Wakongo wanapenda sana nguo.
Wameenda kuomba marobota ya nguo
 
Back
Top Bottom