Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,881
- 1,850
Kila mtu analalamika NIDA wakati jukumu lao ni zito.Pengine Mh. Rais atatoa uamuzi wa kutoa nyongeza ikifika saa tano usiku kulingana na repoti zitakazomfikia na hashindwi kufanya hivyo.Mchakato wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole bado ni mgumu sana kwa sababu kadhaa... Moja na kubwa ikiwa ni ya NIDA kushindwa kutoa vitambulisho kwa wakati kulingana na idadi ya watu pamoja na mahitaji na muda uliopangwa. Pamoja na kuwa siku za kukamilisha usajili ziliongezwa, bado kuna changamoto kubwa ya watu ambao bado hawajasajiliwa.
Ukiacha taarifa ya usalama wa pesa za watu watakaofungiwa laini zao - yaani pesa zitakuwa salama kwa miezi mitatu tu na baada ya hapo mmiliki wa laini atatakiwa kufuatilia kwenye kampuni husika - Vodacom pia imekuja na mbinu itakayowezesha mchakato wa kusajili laini kwa alama za vidole uwe wa haraka. Baadala ya kufunga masaa ya kawaida ya kazi, wao watakuwa wazi kuwahudumia wateja kwenye maduka yao kwa masaa 24 hadi tarehe mbili (2) mwezi wa pili. Kazi kwenu.
Yajayo yanafurahisha. Upo tayari!
Hakuna anayelalamika. Kwanza kwanini unachanganya kulalamika na kuongea ukweli?? Kuongea ukweli ni kulalamika??Kila mtu analalamika NIDA wakati jukumu lao ni zito.Pengine Mh. Rais atatoa uamuzi wa kutoa nyongeza ikifika saa tano usiku kulingana na repoti zitakazomfikia na hashindwi kufanya hivyo.
Jamaa hawajali. Watafanya hivyo endapo wanakaribia kula hasara ili kuokoa pesa. Vinginevyo utalalamika sana, kaka.Wangebadili kabisa ratiba ya muda wao kufanya kazi iwe 24/7.
.
Ni ushamba baadhi ya huduma kutolewa kwa masaa 11-12 kwa siku 5 za wiki na huduma pekee sijui wanaiitaje ya kuwapigia simu na kuchati nao ndio haina kikomo cha muda.
Vodacom shops. Au Duka lolote la Vodacom.Maduka gani? Yataje
Ni kweli. Hilo ndiyo tatizo kubwa... Kama Serikali ingekuwa inajiongeza ingefanya hii ishu iwe ni endelevu sio yenye kikomo, haswa kwa muda mfupi kama huo, au labda ingeweka muda wa kutosha kufanikisha shughuli yote. Acha tuone.Mchawi mbn anajulikana!
Voda, tigo, airtel etc wamewasambaza watu wao wengi Mtaani wa nasajili?
Ila tatizo ni kitambulisho cha taifa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 The whole process is a fools errand. It is just a question of time and soon or later it will surely turn to a fiasco. Just watch.Hamna network toka alhamisi.... namba nimepata sasa tatizo network!
Tatizo wamekurupuka. Acha uone.Aisee seva za nida ni shida.
Lain hazisajiliki.
Pita kwa kijana anayesajili hapo ndo utaelewa
nenda jioni au usiku inaachia yaani kuanzia saa 2 uckuHamna network toka alhamisi.... namba nimepata sasa tatizo network!
Mimi nimesajili Airtel tangu juzi nasubiri confirmation naambiwa mtandao unasumbuaAisee seva za nida ni shida.
Lain hazisajiliki.
Pita kwa kijana anayesajili hapo ndo utaelewa
Sawa mkuu
Cha ajabu JK yeye alisajiliwa hio majuzi,sijui mtandao yeye alipatia wapi.Hamna network toka alhamisi.... namba nimepata sasa tatizo network!
HmmmThe whole process is a fools errand. It is just a question of time and soon or later it will surely turn to a fiasco. Just watch.
Hapo sijaelewa kabisaa!Cha ajabu JK yeye alisajiliwa hio majuzi,sijui mtandao yeye alipatia wapi.
dodge