refurbished haihitaji mwezi hata siku inakuwepo.
refurbished hutokea mtu ananunua simu then inakuwa na hitilafu anairudisha samsung, samsung wanampa simu nyengine halafu ile wanaitengeneza na kuiuza tena.
kuna manufacture refurbished certified na refurbished nyengine zinafanywa tu mtaani.
mahala ilipotengenezwa simu hakuna maana as long as kitu kimetengenezwa na samsung wenyewe. simu siku hizi zinatengenezwa na viwanda na mashine na sio mikono ya watu kama zamani. kipindi simu ni hand made ndio ilikuwa mahali ilipotoka unajali.
na mimi si guess nakujibu kutokana na unachosema wewe. flagship za samsung zenye snapdragon zinetengenezwa kwa ajili ya North America na sio huku kwetu, umesema mwenyewe kuhusu snapdragon.
swala la charge website mbalimbali wameshatest baina ya snapdragon version na exynos nenda gsmarena, anandtech etc utaziona sio maneno yangu hayo.
na kuroot, kukaa na simu mwaka mmoja, kutokuwa haja na update etc hayo ni mambo yako wewe hayahalalishi kila mtu awe hivyo na kuwa mshamba.