ndo sehemu gani kwa hapa darAu nenda samsung customer care utapata simu orgn pale hakuna feki
Mlimani city utapata asee au mchek high life tz anauza vitu orgn waweza chukua namba yake kwa hii screenahot [emoji116]ndo sehemu gani kwa hapa dar
Ana page InstagramAll phones zipo sealed kwenye box..complete accesories ..brand new....warranty 1 years...inbox for orders
Contacts : 0746282234 (voda)
0672255842 (tigo)
Delivery services are available
(Tunaleta simu ulipo kama unauhakika wa kuinunua.)
Location : Dar es salaam
huyu jamaa anapatikana dar anauza vitu orgn
sijajua kama ana page insta lkn huyu ni member wa jf ila kwa high life tz yupo facebook whatssap na telegramAna page Instagram
kwa whatssap yupo mpk status huwa anaweka za aina mbali mbaliAna page Instagram
Simu ya 1m wanauza 2m. Uo si ushamba.Au nenda samsung customer care utapata simu orgn pale hakuna feki
Amesema anahitaji kitu orgn pia samsung wanauza bei elekezi na wanaleta simu zinazotumika afrika siyo asia wala europe yaani zimeandaliwa kuingia afrika na simu hazisumbui network wala nnSimu ya 1m wanauza 2m. Uo si ushamba.
Hizi za miloni ulizozizoea ww ni secondSimu ya 1m wanauza 2m. Uo si ushamba.
Acha ushamba wewe. Nilinunua s8 wakati zimetoka kwa 1.5 samsung ndyo walkuwa wanauza kwa 2.2Hizi za miloni ulizozizoea ww ni second
dar mi ni mgeni nimekuuliza wanapatikana maeneo gani hunambiiIla ndugu yangu unahangaika bure ningekushauri uende samsung customer care au kwa high life
then pengine ulishikwa masikio, sababu s8 inatoka bei ya model ya chini kabisa ni dola 720, ambayo ni around 1.6 hapo bila kodi, usafiri etc ipo ughaibuni huko.Acha ushamba wewe. Nilinunua s8 wakati zimetoka kwa 1.5 samsung ndyo walkuwa wanauza kwa 2.2
simu popote unaponunua ni sawa cha muhimu iwe na warranty ya miaka miwili ya samsung, hakikisha unasajili kabla hujaondoka. kwa dar kuuziwa simu ambazo hazipaswi kuuzwa Africa ni rahisi sana.dar mi ni mgeni nimekuuliza wanapatikana maeneo gani hunambii
Wewe ni mshamba sana na hujui kitu. Naitumia hii s8 mpaka sasa. Na nimeinunua mwezi 1 baada ya kutoka na full boxed. Manufactured vietnam. Duos, 64gb.then pengine ulishikwa masikio, sababu s8 inatoka bei ya model ya chini kabisa ni dola 720, ambayo ni around 1.6 hapo bila kodi, usafiri etc ipo ughaibuni huko.
hizi zinazouzwa bei rahisi ni za korea, china marekani etc nyingi si mpya ni refurbished na kwa macho ya kawaida bila vifaa vya kitaalamu unaweza usitofautishe refurbished na mpya.
umeisajili na ADH? ilikubaliwa?
Huyu ndye hata mimi aliniuzia. Simu zake bei ipo chini sana.kwa whatssap yupo mpk status huwa anaweka za aina mbali mbali
hapo tayari umejikamatisha kwamba simu yako ni ya North America na sio inayopaswa kuuzwa Kimataifa au Tanzania.Wewe ni mshamba sana na hujui kitu. Naitumia hii s8 mpaka sasa. Na nimeinunua mwezi 1 baada ya kutoka na full boxed. Manufactured vietnam. Duos, 64gb.
Hizi simu tofaut ni processor
washamba kama nyie ndyo mnapigwa bila kujua.
S8 nyingi zinazouzwa hapa bongo zina octa-core Exynos 8895 ambazo zipo sana kwenye masoko ya Asia na ni cheap ukicompare na zenye Qualicomm Snapdragon zinazouzwa North America.
Sasa wewe unataja bei ya s8 yenye Snapdragon unafikiri s8 zote zina snapdragon?
Na hapo ndipo wabongo tunaibiwa kwa kukosa maarifa.
Sema kama unataka nikusaidie ni jinsi gani unaweza pata simu kama hizi kwa bei poa bila tax wala warrantee. Acha kujifanya mjuaji kumbe mshamba tu.