Maduka ya Electronics Zanzibar

Eli24

Senior Member
Jan 1, 2018
165
361
Niaje Bandugu

Naulizia maduka ya electronic yaliopo Zanzibar yanahusika na uuzaji wa laptop yako pande zipi hapo zenji town.

Nategemea kwenda zenji this weekend kwa hiyo natamani kupitia kwenye hayo maduka ili niweze kucompare price na hapa bongo au kama una mnajua dealer yoyote hapo zenji basi njoo pm tuwasiliane kabla sijafka ili awe mwenyeji wangu au unayajua basi tujulishane ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom