Maduka rahisi ya Japan

Tokyo40

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,065
1,925
Ukija Japan, usikose kwenda kwenye maduka ya "100 Yen Shop".

Yen 100 ya Japan ni shilingi 2000 za Bongo.

Kila kitu katika maduka hayo ni Yen 100. Kuanzia nguo, vyakula, madaftari, viatu, vifaa vya nyumbani na kadhalika.

ImageUploadedByJamiiForums1456158354.174499.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1456158382.004998.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1456158401.121791.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1456158424.421224.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1456158450.972644.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1456158470.972505.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1456158491.148952.jpg
 
Najaribu kuwaza tu...! Kwa bei hii hawa jamaa wanapataje faida sasa?
Au mteja hatakiwi kununua unit moja moja kwa bidhaa?
Au wana acquire/produce hizo bidhaa at a lowest cost or they are being exempted from tax payment purposely to serve low income earners?
Au hizo products huwa wanazalisha wenyewe baada ya kurealize super profit?
Make kibongo bongo ukiona bidhaa zinauzwa kwa bei ya jero jero basi huo ni mtumba(hasa nguo) grade ya mwisho umekuwa accumulated kwa muda mrefu kutoka kwenye marobota mbalimbali, hivyo mfanya biashara anaona kuliko kuuchoma moto better sale them at a throw away price!!

Wataalam wa mambo mkuje huku mnipe ufafanuzi zaidi.
 
Wananunua kwa wingi kwa wakati mmoja viwandani. Hamna middleman. Tunaongelea kontena elfu au zaidi kwa mkupuo mmoja.

Mali nyingi zinatengenezwa China kwa ajili ya wateja wa Japan. Quality inakuwa juu zaidi ya mali zinazokwenda nchi masikini.

Viwanda vya Japan pia vinazalisha China na nchi nyingine Asia kwa bei rahisi. Makubaliano baina ya nchi mbalimbali na Japan zinapunguza kodi na gharama za usafiri.

Usafiri bora, ushuru mdogo, kodi ndogo na urahisi wa kuingiza mali bandari za Japan, zinapunguza gharama za vitu madukani.

Mpaka miaka michache iliyopita, Kodi ya mauzo ilikuwa 3% . Leo ni 8%.

"Economies of scale" inapunguza gharama ya vitu kama wanavyofanya Walmart Marekani.
 
Buy one get One free !!!

%2584-%25D8%25B9%25D9%2584%25D9%2589-%25D9%2588%25D8%25A7%25D8%25AD%25D8%25AF-%
258B-.html&rct=j&frm=1&q=&esrc=s&sa=U&ved=0ahUKEwieuOXdnY3LAhUEbhQKHYb2AmMQwW4IFzAA&usg=AFQjCNETRBPQzY-IH5-tOTsVf4-g5lFFsg
 
99p Shop in UK....Everything 99p.......100p=£1 so basically 99p=£1 =3400tzs

Baada ya recession ya 2008, haya maduka yamekuwa mengi nchi nyingi. Kuna Dollar Store, 99p shop, 100 Yen shop na DAISO.

Inasaidia sana kupunguza gharama.
 
Naruhusiwa Kununua Vitu Mpaka Vya Yen Million Tano? Najua Nikija Na Hivyo Vitu Bongo Mimi Tajiri
 
ukifikisha mzigo wanakuambia import tax yen milioni 15.

Hapo ndo utabana ngenge,

bora labda upeleke mzigo uganda ama kenya kidogo kodi zao nafuu
 
Hivi kwa nini bongo kodi imekuwa haina uhalisia? Au ni kukomoana?
 
Wananunua kwa wingi kwa wakati mmoja viwandani. Hamna middleman. Tunaongelea kontena elfu au zaidi kwa mkupuo mmoja.

Mali nyingi zinatengenezwa China kwa ajili ya wateja wa Japan. Quality inakuwa juu zaidi ya mali zinazokwenda nchi masikini.

Viwanda vya Japan pia vinazalisha China na nchi nyingine Asia kwa bei rahisi. Makubaliano baina ya nchi mbalimbali na Japan zinapunguza kodi na gharama za usafiri.

Usafiri bora, ushuru mdogo, kodi ndogo na urahisi wa kuingiza mali bandari za Japan, zinapunguza gharama za vitu madukani.

Mpaka miaka michache iliyopita, Kodi ya mauzo ilikuwa 3% . Leo ni 8%.

"Economies of scale" inapunguza gharama ya vitu kama wanavyofanya Walmart Marekani.
Uchambuzi safi kabisa. Naomba tuchekiane kwa WhatsApp namba zangu +255 687 031768

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom