Maduka mtaa wa Pangani (Arusha) yanawaka moto

Maduka mtaa wa Pangani (Arusha) yanawaka moto

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
8,558
Reaction score
7,168
Maduka ya mtaa wa Pangani mjini Arusha yanawaka moto huku kukiwa na kikosi kazi cha zimamoto wakijitahidi kuuzima moto huo.Polisi wapo kuhakikisha ulinzi kwa vibaka wowote watakaotaka kupora vitu ktk maduka hayo
 
Habari zaidi tutaendelea kuwajuza kwa mlio mbali kufahamu ni nini kinaendelea juu ya watanzania hawa watakaopata hasara
 
Mtaa wa pangani karibu na Jengo la ccm,habari zaidi kwa wakazi wa Arusha radio five wanaruka hewani kuwahabarisha watu
 
Yarabi awasitiri...duh ngoja nicheki ndugu zangu wa maeneo hayo
 
Haya ngoja tusibirie ofisi ya Mafisadi iungue, kwani huyo moto utachukuwa dakika ngapi mpaka kufikia hiyo ofisi ya Magamba?
 
Ni kwenye jengo lenye ofisi ya Masasi signs, zamani Mchomba guest house.
 
Maduka ya mtaa wa Pangani mjini Arusha yanawaka moto huku kukiwa na kikosi kazi cha zimamoto wakijitahidi kuuzima moto huo.Polisi wapo kuhakikisha ulinzi kwa vibaka wowote watakaotaka kupora vitu ktk maduka hayo
Pole sana makamanda wa A-town kwa Mkasa huo wa Kusikitisha..!
 
Ohh my god,kwangu ni hapo umeme stoo,naomba tu mungu usije ukafika hapo.
 
Poleni sana wakazi wa arusha hasa wahanga wa janga hili.
 
Back
Top Bottom