Tetesi: Madudu ya Startimes mbele ya TBC kuanikwa soon

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Kuna tetesi kuwa madudu ya mkataba kati ya TBC na startimes kwenye utumizi wa mitambo yataanikwa soon.

Hawa wachina wajiandae kisaikolojia tu
Inafurahisha sana wachina zamu yenu ya kunyooshwa imewadia

Mwenye makubaliano kati ya startimes na TBC kwamba walikubaliana nini atuwekee hapa au vipengele vya huo mkataba.
 
Wajiandaaje tena kivipi zaidi...wakati Rais alipita kwenye ofisi zao kuwapa yake, siku alipokuwa anatokea TBC!?

Yaani wanajua hapa kazi tu kivyovyote
 
Hamna nama kama mikataba ya kinyonyaji ishughulikiwe tu. Na hii ikifanikiwa sijui itakuwa ajenda ya nani, maana madini ilikuwa ya Mnyika
 
Back
Top Bottom