Madudu mishahara ya UDSM

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wafanyakazi wa UDSM wamelipwa mishahara ya mwezi uliopita bila makato ya mikopo katika Benki mbalimbali, makato ya SACCOS, malipo ya nyumba na kadhalika. Sasa utawala wa Chuo unahaha kuwasihi wafanyakazi warudishe yaliyopaswa kuwa makato yasiyokatwa.

Nyaraka za kimshahara za UDSM zinaonesha kuwa makato pekee yaliyokatwa ni michango kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kodi za serikali (PAYE). Wafanyakazi warudishe yaliyotakiwa kuwa makato?

Mzee Tupatupa wa Escrow, Dar es Salaam
 
na sikukuu hizi mbeleni...inahitaji busara sana..ila sio kesi sana...watadouble makato tar 23 watajuta!!!
 
Sasa umeleta huk tufanyaje acha umbeya au inakuma watu kuchukua mpunga mrefu.
 
Back
Top Bottom