Madudu mengine yaibuka. Mamilioni yashilingi yadaiwa kutafunwa na wajanja

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
DSC03060.jpg
 
Tuwekee haya madudu humu hilo gazeti la Mzalendo huku Mugumu yanakuja si zaidi ya matano kwa ajili ya ofisi za CCM na yanakuja baada ya siku tatu. Kwenye vibanda hayanunuliwi kwa hiyo hayaletwi.
 
Hata Mzalendo (sijui hili jina lilitoka wapi) maana ambacho kimekuwa kikiandikwa na gazeti hilo hakifanani na jina lake nao wameanza kuandika madudu?.
 
Tuwekee hayo madudu kwani humu unafanya biashara ya kuuza magazeti? kwa nn utuandikiettu heading?
 
Kamati kuu haina ubavu wa kumjadili Magufuli.Hata sisi watu wa UKAWA tunamkubali Magufuli. TZ ni yetu sote si ya CCM pekeee.
 
Back
Top Bottom