Madudu mengine ya IGP Mwema

Madudu mengine ya IGP Mwema

Hivi Zelothe Steven naye kawa mchagga siku hizi ?.
 
Katika mwendelezo wa ukabila, uswahiba Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Said Ally Mwema amemkumbatia na kuendelea kumwacha katika utumishi Kamishna Msaidizi wa Polisi - ACP Grace Ngassa ambaye kimsingi alistaafu kazi tangu Julai 2012.

Acp Grace Ngassa kwa sasa analiwakilishi Jeshi la Polisi Tanzania katika ulinzi wa amani jimbo la Darfur nchini Sudan, uwakilishi ambao kigezo cha kwanza ni lazima uwe askari polisi uliye katika utumishi. ACP Ngassa ambaye kashalipwa mafao yake ya kustaafu baada ya Katibu mkuu kutoa kibali chake cha kustaafu anatajwa kubebwa na IGP kwa sababu ya kabila lake kuwa moja na Mwema.

Mwema pia kwa misingi ya uswahiba amekuwa akimbeba kamishna msaidizi mwandamizi SACP Zelothe Stephen ambaye yuko katika mkataba kwa mara ya tatu na sasa amempa madaraka ya u-RPC Mtwara.

hisia zangu ni kuwa grace ni chakula yake wala sio sababu ya kabila kuwa moja hizo ni hisia zangu tu
 
Katika mwendelezo wa ukabila, uswahiba Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Said Ally Mwema amemkumbatia na kuendelea kumwacha katika utumishi Kamishna Msaidizi wa Polisi - ACP Grace Ngassa ambaye kimsingi alistaafu kazi tangu Julai 2012.

Acp Grace Ngassa kwa sasa analiwakilishi Jeshi la Polisi Tanzania katika ulinzi wa amani jimbo la Darfur nchini Sudan, uwakilishi ambao kigezo cha kwanza ni lazima uwe askari polisi uliye katika utumishi. ACP Ngassa ambaye kashalipwa mafao yake ya kustaafu baada ya Katibu mkuu kutoa kibali chake cha kustaafu anatajwa kubebwa na IGP kwa sababu ya kabila lake kuwa moja na Mwema.

Mwema pia kwa misingi ya uswahiba amekuwa akimbeba kamishna msaidizi mwandamizi SACP Zelothe Stephen ambaye yuko katika mkataba kwa mara ya tatu na sasa amempa madaraka ya u-RPC Mtwara.
Mbona majina ya akina Ngasa najua ni ya Wasukuma, ina maana siku hizi IGP Mwema nae ni msukuma
 
Hata mie imekuwa ikkinishangaza sana hali hii, watu wanapaswa kujiandaa kiasaikolojia na kuelewa kuna maisha hata baada ya kustaafu, wapo wanaodiriki hata kupunguza umri wao wa kuzaliwa

mkuu heshima kwako! Umeongea busara sana! Watumishi wengi wanakuwa hawajajiandaa kisaikolojia na kuwa na utayari wa kustaafu pindi muda unapofika! Kwa hilo ninamkumbuka kamanda Ngoboko R.I.P!

kwa mleta mada naona kaweka chumvi nyingi za ukabila! Mchaga na msukuma wapi na wapi? Nadhan hajafanya intel yake vizuri. Wastaafu wengi tu huko polisi wameachwa na wengine wako rank za juu tu kama IGP mwenyewe na penshen kashachukua lakini hajawaona sasa sijui kuna personal issue au nin kwa hao aliowataja?
 
Hivi Zelothe Steven naye kawa mchagga siku hizi ?.

Zelothe mmasai, kama umesoma post between the lines utakuwa umeona maelezo kwamba yeye anabebwa sababu ya uswahiba,, ieleweke kwamba jeshi linaweza kwenda bila hao mnaowasema "jembe",, wako wengi tu wanaoweza kuzifanya kazi na kwa ufanisi mkubwa tu
 
Mbona majina ya akina Ngasa najua ni ya Wasukuma, ina maana siku hizi IGP Mwema nae ni msukuma

Yule mama jina lake ni Grace Kimaro,, hilo la Ngasa ni la/lilikuwa la mumewe. Punguza munkari, tuchambue tu taratibu Mkuu
 
Usikonde mkuu,si unajua tena huwezi kumfurahisha kila mtu..nikirudi kwenye post,upendeleo haukuanza jana.tushaathiriwa na mfumo,cha msingi ni kuchukua hatua 2015 ili tuheshimiane.

mbona viti maalum vyote mkewe Lissu, mtoto wa Ndesamburo, mkewe Slaa, dada yake Mbowe etc sasa ujinga gani mtauondoa wakat kiboliti kipo kwenye macho yenu? acheni kujidanganya_someni historia na muitumie_Josephine mwenyewe kawaambia mumuache na mzee wakapumzike kwa ruzuku maana wame invest sana CDM
 
Ni jembe?

Tukipata viongozi wazuri tuwa-keep ofisini mpaka wafe, sivyo?

Wengi tutakubaliana kwamba Nyerere alikuwa ni jembe. Kwa hiyo Nyerere nae asingestaafu mpaka afe Ikulu!

Hayo ndio mawazo yako unayotaka kutuambia hapa, sivyyo?

Kwa hiyooo..hii katiba ya nchi hii watu wanaiona kama karatasi au? katiba iliyokuweka madarakani hiyohiyo ndiyo inapashwa itaje muda wako wa kumaliza kazi..kwahiyo kwa kuwa ana nguvu mkali barabarani so ndio akae milele..hawa wachangiaji wa hii post wala siwaelewi au ndio haohao..oooii kwahiyo mtajuaje kwamba kuna watu wanweza zaidi ya hao kama hawapewi nafasi? My take is..ingawa inaonekana nchi hii haina katiba kwa sasa, na kwa kuelewa kwamba migogoro mingi inayoendele humu duniani imesababishwa na uvunjwaji wa katiba..bila kujali nani ana mamlaka ya kumuongezea nani muda wa kuwa kazini, viongozi wetu wanapashwa tu kuwa makini sana kwa hilo, na wafahamu kwamba vijana wanawatazama mambo wanayoyafanya na sio kwamba hawayaoni hayo.
 
Mtu kama Kova kupewa mkataba wa mwaka mmoja basi anavimba kichwa balaa na kujiona kama bonge la mtendaji. Inshort utaratibu wa kuwapa watu mikataba baada muda wa kawaida kustaafu limekuwa chaka la kulipana fadhila tu
 
Mtoa mada unaonekana unajua mambo mengi kuhusu IJP hebu tuambie panga la shaba limepatikana au halijapatikana mkuu.
wewe bana haya mambo ukiyashupalia sana utaumia sana mkuufanya mambo yako ,kwani tindikali zimeisha nchini utamwagiwa wewe.
 
Kuhusu zerothe steven mimi namunga mkono maana hilo ni jembe bab kubwa.kwenye nchi za wenzetu hao ndio wanaounda baraza la ulinzi na usalama.lakini sio kova
 
Back
Top Bottom