Madudu mengine ya IGP Mwema

Vivaaaa ZELOTHE vivaaa STEVEN.........., Watu kama akina TOSSI nao wanaungana na zello4he
 
Pu..mbu zako,huna haya unaandika ushuzi,jeshi siyo mgambo wewe fi.si,big up mwema!

Hakuna sababu ya kutukana mkuu, tujadili hoja au la unapita kama msomaji, iga mfano wa Bishoke post na.11
 
Hakuna sababu ya kutukana mkuu, tujadili hoja au la unapita kama msomaji, iga mfano wa Bishoke post na.11

Usikonde mkuu,si unajua tena huwezi kumfurahisha kila mtu..nikirudi kwenye post,upendeleo haukuanza jana.tushaathiriwa na mfumo,cha msingi ni kuchukua hatua 2015 ili tuheshimiane.
 
Pu..mbu zako,huna haya unaandika ushuzi,jeshi siyo mgambo wewe fi.si,big up mwema!

Mbona hujajibu hoja mkuu!? au sembe mnazovuta bila hata kunywa maji zinawahribu!
 
Vivaaaa ZELOTHE vivaaa STEVEN.........., Watu kama akina TOSSI nao wanaungana na zello4he

Jamaa hao wawili umewataja bado wana maono ya kaleeeee kwamba Jeshi ni miguvu tuuuu na ubabe, hali ilivo leo ni tofauti kidogo. Venance Bruno Magnus Tossi kapata ajira nyingine TANAPA huko
 
Namuona KAMUHANDA akiwa IGP huyoooo,kweli bongo kichwa maji

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni jembe?

Tukipata viongozi wazuri tuwa-keep ofisini mpaka wafe, sivyo?

Wengi tutakubaliana kwamba Nyerere alikuwa ni jembe. Kwa hiyo Nyerere nae asingestaafu mpaka afe Ikulu!

Hayo ndio mawazo yako unayotaka kutuambia hapa, sivyyo?
 
Baada ya zelothe alienda jamali Rwambo alipostaafu Rwambo , akaenda Liberatus Barow badala ya kwenda patro ucku yeye alienda
kwa Mwl Judith wa kitangiri huko ndo Cku moja akakipata cha Mtema kuni.
 
Ni jembe?

Tukipata viongozi wazuri tuwa-keep ofisini mpaka wafe, sivyo?

Wengi tutakubaliana kwamba Nyerere alikuwa ni jembe. Kwa hiyo Nyerere nae asingestaafu mpaka afe Ikulu!

Hayo ndio mawazo yako unayotaka kutuambia hapa, sivyyo?

kuna watu wana fikra za ajabu sana mkuu. jembe?
 
Kumbe Kamanda Saimon Siro hakufanya kazi yoyote.
 
Atampa vipi cheo Mstaafu wakati sisi tupo uraiani hatuna Ajira? huu ni uchakachuaji wa Miaka ya Kustaafu hii nchi inaendeshwa kwa Utawala Bora na Sheria kweli? au kwenye maandamano tu?
 
Naona sasa tusiwe na umri wa kustaafu maana naona haina maana kuongezeana muda. Ina maana watumishi wengine wa kushika nafasi hakuna?
 
Nisaidie mkuu, IJP ni nini?
 
Hivi ni kwanini watumishi wa ngazi za juu wa nchi hii hawataki kustaafu kwa mujibu wa sheria ? Wanaogopa nini ? Walimkosea nani , mbona hawajiamini ?

Hata mie imekuwa ikkinishangaza sana hali hii, watu wanapaswa kujiandaa kiasaikolojia na kuelewa kuna maisha hata baada ya kustaafu, wapo wanaodiriki hata kupunguza umri wao wa kuzaliwa
 
Nakelwa ni maana yake nini,.....we unafikiri una hisa na hiyo wilaya peke yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…