Madudu haya mpaka lini au ndio kichwa cha mwenda wazimu?

Jost

Member
Apr 15, 2011
13
3
sasa kama taasisi nyeti ya elimu kama TCU watu wanawachezia hivi ndio tunaenda wapi?
 

Attachments

  • tcu.jpg
    tcu.jpg
    98.4 KB · Views: 88
ni aibu..mbona tuna wataalam hasa ma engineer wazur tu wa computer,watu wa it na wengineo wengi inakuaje wanachezewa na hackers kama hivi!! INATISHA kwel tcu they are NOT ELIGIBLE!!!
 
Je nani anahost hiyo website yao?Maana yawezekana hana uwezo kabisa huyo hoster wao.
 
tcu sio wanaovujisha bali ni vyuo husika ,wanapopelekewa kuhakiki selection wao ndo wanvujisha na sio tcu
 
Back
Top Bottom