Weka picha yake ya miaka 60 basiView attachment 837404
Queen of pop music of our days is turning 60 today. Happy Birthday Madonna
Kwa kweliBibi wa vituko Madonna
Kinyama kimekomaa vizuri sasa.. Kitamuje..!View attachment 837404
Queen of pop music of our days is turning 60 today. Happy Birthday Madonna
View attachment 837418






Yule David Banda alimuadopt Malawi sasa hivi anasoma Football Academy Portugal. Shule ya David imemfanya Madonna ahamie huko kuishi nae.Hivi yule mtoto aliyekuwa anataka kumu adopt huko Malawi alafu akaletewa zengwe na serikali huko vp alifaniiiwa...
Any way hbd Madonna
Ova
Duh aise Kala shavu ndomana jamaa walikuwa wanabana walijua mtoto anaenda tusua maisha si unajua ngozi nyeusi kwa kubanianiYule David Banda alimuadopt Malawi sasa hivi anasoma Football Academy Portugal. Shule ya David imemfanya Madonna ahamie huko kuishi nae.
Alikuwa mpenzi wa 2pac Shakuru. Walikuwa wanabanduana sana. Kama 2pac angekuwepo angekuwa kwy miaka kama 48.Kinyama kimekomaa vizuri sasa.. Kitamuje..!![]()
Dah bonge la title muasisi wa mashuga mummyAlikuwa mpenzi wa 2pac Shakuru. Walikuwa wanabanduana sana. Kama 2pac angekuwepo angekuwa kwy miaka kama 48.
2pac alikuwa Serengeti boys wake. Shuga Mammy wa nguvu. Huyu ndio muasisi wa Mashuga Mammy ambao wakina Emanuel Macron wa ufaransa wameiga kwa 2pac