Madonna amefikisha miaka 60 leo

Madonna amefikisha miaka 60 leo

Yule David Banda alimuadopt Malawi sasa hivi anasoma Football Academy Portugal. Shule ya David imemfanya Madonna ahamie huko kuishi nae.
Inawezekana akawa ana banduana nae. Yule mama kapagawa sana.
 
Na ile kyupi yake aliyowarushia mashabiki vip nayo? Ila umri hapana aisehh unakwenda mbio

napendage wimbo wake wa American pie baada ya kuokoka
 
namuelewa mnoo Madonna" napenda ile ngoma aliyofanya na j.timberlake"" ...duuuh kumbe kala chumvi mnoo aisee
 
Back
Top Bottom