Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za madiwani watano wa CHADEMA kujiuzulu katika jiji la Arusha
====
====
Hata hivyo miaka yao Kitano imebaki miez sita na kwa sababu wamekubali kinunuliwa kwa bei che kama makhaba wa kambi ya fisi waende tu , ila wajue yajayo chadema yanafuhisha, Tundu lisu ndiye atakaye ikomboa chadema dhidi ya hao mbwa mwitu.
ungejua hela inayolipwa kwenye mambo haya ungemlilia mamaako huko kijijini .
Ni demokrasia kamandaTunarudishwa kwenye Chama kimoja ki style
Ova
Hao madiwani wamejitambuaLengo ni jiji la Arusha ? kwa gharama ya bei hiyo si sawa !
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za madiwani watano wa Chadema kujiuzulu katika jiji la Arusha
Nb kichaka kinazidi kupukutika,kazi kwenu wanachadema.
Viva ccm
Kwani November 24 tulifanya uchaguzi wa madiwani mkuu?Madiwan hawa wapya tuliofanya uchaguz novemba 24 au sijaelewa vizuri nifahamishe
Ni lazima hayo yatokeee makapi yote yadondoke chini
Wamejitambua hao saafi sana
Kwani November 24 tulifanya uchaguzi wa madiwani mkuu?


nimejichanganya sana mkuu aisee😂😂😂Chandema hii hii au ipo nyingine?Ni kweli wamejitambua kuwa huku Chadema sio kwa majizi mwenzao,sababu sasa hivi ukitaka kupiga lazima uwe nzi wa kijani.
Bora hao mkuu!huwezi kuona nyumba inaungua halafu unashindwa kutoka utakuwa ni uvivu uliopitiliza "sumaye kashaliwa kichwa huko ""Wachumia tumbo wote hao
Dah....siku ukimpata mwanasiasa ambaye si mchumia tumbo...nishtueWachumia tumbo wote hao




Hawezi kuruhusu kamwe wala kutangaza anataka HAKI kwenye uchaguzi.hana huo UanaumeJPM ataruhusu uchaguzi huru na wa haki!? Nguvu ya mambo ipo majini. CCM wajitathimini kwa uchaguzi huru na wa haki!!! Vinginevyo ni maigizo ya ajabu,kizandiki na kishamba zama hizi.