mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
Leo katika kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoendeshwa na Efm. Watangazaji waliamua kuwapigia simu madiwani walio Misungwi ili kupata ukweli wa tamko la madiwani wa Misungwi walio Dodoma kwa mwaliko wa Kitwanga.
Madiwani walio Misungwi wamekana kupingana na uamuzi wa rais kumuondoa Kitwanga kwenye uwaziri. Wanasema wao na wananchi wao wamefuraishwa na uamuzi wa rais na wanamuunga mkono.
Kuhusu wanaodaiwa kutoa tamko la kukanusha Kitwanga kukutwa na ulevi ata wao wanawashangaa hawajui nini kinaendelea huko Dodoma.
Ila wanasikitika Kitwanga kuwaaibisha.
Watangazaji wa radio waliamua kuwapigia madiwani walio Misungwi ili kupata ukweli wa tamko.
Chanzo : Radio Efm