Madiwani wa Geita waweka vizuizi lango Kuu la Geita Gold Mine kushinikiza malipo ya kodi ya Huduma

Sheria inasemaje kwani kama hawajalipwa kodi? kama madiwani wanakua na akili hizo sisi wananchi wa kawaida inakuwaje? ina maana hawaamini mahakama wala police hadi wakadai kwa fujo zote hizo? wanajua kuwa watapaswa kulipa hasara itakayotokana na wao kuzuia uzalishaji kwa siku hiyo? mwisho wa siku watakuta kwa ujinga huo wao ndio watakua wanadaiwa pesa nyingi
Mahakama ni suluhu ya mwisho
 
Nchi inaongozwa na wasiofata sheria na katiba,nadhani atakuwa kawatuma
 
Madiwani wameweke vizuizi ktk lango Kuu la kuingia Geita Gold Mine kama mawe na magari baada ya Utawala wa mgodi kushindwa kulipa madai hayo ya kodi ya Huduma na Uhuru mbalimbali kwa Halmashauri ya Geita ili kuzuia wafanyakazi wasiingie leo kazini.

Yamesemwa na Diwani Joseph Kaparatus kuwa wanadai mgodi huo toka mwaka 2004 mpaka 2013 hao jamaa wahajalipa pamoja na kutumia njia zote halali lakini jamaa wamekaidi kulia.

Ndiyo maana wameona watumie njia hiyo Sasa.

Tusubiri yatakayojiri.....
Mbona kila siku kwenye tv na radio wanajitangaza ndo wanaongoza kwa kulipa kodi.
 
80f1fbd030b41d646537bfe3b995bc22.jpg

Leo bila chetu hakuna gari kuingia wala kutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Only in Tanzania...investors are treated like shit....tusubiri maana wote lazima muishi kama shetani
 
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Madiwani Geita wafunga barabara inayoingia kwenye mgodi wa Geita GGM kushinikiza uongozi wa mgodi huo kulipa Dola Milioni 12.

FB_IMG_1505366048238.jpg
 
h
hii nchi sasa Unaniitia mashaka, naona kama kuna lijamaa limejificha chobingo linaamrisha matukio mkanganyiko ili kuleta mkanganyiko :
1.uvamizi wa vituo vya police
2.mauaji ya MKIRU
3. risasi kwa viongozi
4. Sintofaham kwenye madini
name them.

can this be a mere coincidence?
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Madiwani Geita wafunga barabara inayoingia kwenye mgodi wa Geita GGM kushinikiza uongozi wa mgodi huo kulipa Dola Milioni 12.

View attachment 587884[/QUOTE
 
h
hii nchi sasa Unaniitia mashaka, naona kama kuna lijamaa limejificha chobingo linaamrisha matukio mkanganyiko ili kuleta mkanganyiko :
1.uvamizi wa vituo vya police
2.mauaji ya MKIRU
3. risasi kwa viongozi
4. Sintofaham kwenye madini
name them.

can this be a mere coincidence?
Ngoja tuone mkuu huu mvutano.
 
Back
Top Bottom