Madiwani wa CHADEMA Arusha wamfukuza mkurugenzi wa TAMISEMI

Kama hiyo complex ilitegemea pia mchango wa halmashauri ni wazi kuwa ccm wakiwa ndio meya hawatatenga fungu hilo kwani kufanya hivyo itakuwa kumpa ulaji huyo mbunge/diwani wa cdm. Ndiyo maana unaambiwa kwanza kiongozi (meya) awe aliyechaguliwa kwa ridhaa ya watu then awatumikie; huyu wa kuchakachua hawezi!

Kazi si atapewa GAIMO Construction; atakubali tuu
 
Mayor Gaudence Lymo kaongeza uzio wa nyumbani kwa kile kinachosemwa anaimarisha usalama
 
Habari za ndani ya mji wa Arusha, la kwanini meye wa mji wa Arusha ang'ang'anie nafasi ambayo hajachaguliwa ki uhalali ni kwamba yuko pale kulinda maslahi ya wa kubwa kwa garama yoyote, pale Arusha kuna mashamba yanaitwa mashamba ya Burka. yako karibu na makao makuu ya TANAPA na kwa Askofu wa jimbo kuu katholiki arusha, yaani kwa ujumla ni sehemu yenye mandhari nzuri sana hali ya hewa nzuri, ndo lango la jiji la Arusha, sasa hayo mashamba yalikuwa yanamilikiwa na mwekezaji kwa ajili ya kilimo cha kahawa, serikali ikaamua imlipe huyo mwekezaji pesa zake maeneo hayo wagawiwe wananchi kwa ajili ya kujenga majumba ya biashara,kilicho tokea maeneo hayo inasemekana yameshagawanywa kisiri, na hakuna mwananchi wa Arusha aliye pata kitu wamechukua watoto wa vigogo kutoka Dar na sehemu zingine lakini mwananchi wanaendelea kusubiri ngawo, sasa chadema walilijua hilo na wakasema wanaichi lazima wapewe maeneo, sas huyo bwana yuko pale kwa ajili ya kulinda hayo maeneo.

Siyo kweli, eneo unalozungumzia ugawaji wake unasimamiwa na Halmashauri ya Arusha Vijijini
 
Katika semina elekezi,madiwani wa chadema waibana serikali,kuanzia mkurugenzi tamisemi,RC,DC wakishinikiza ufafanuzi juu ya uchaguzi wa meya.Katika hali ya msisitizo wamemfukuza mkurugenzi wa tamisemi,na msimamo wao ni kutomtambua meya.
Hadi kieleweke

Wemfukuza kwa sheria na kanuni, Kelele, Marungu au namna gani mkuu?
 
Back
Top Bottom