Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Good Madam, CDM differs with me and you.
Katika semina elekezi,madiwani wa chadema waibana serikali,kuanzia mkurugenzi tamisemi,RC,DC wakishinikiza ufafanuzi juu ya uchaguzi wa meya.Katika hali ya msisitizo wamemfukuza mkurugenzi wa tamisemi,na msimamo wao ni kutomtambua meya.
Hadi kieleweke
Watamfukuzaje Mkurugenzi wa TAMISEMI wakati wao siyo mamlaka iliyomwajiri?
Sometimes utaonena muungwana kukubali ukweli unaambiwa kafukuzwa ukumbini wewe hutaki LOL!! hata kama una upofu wa upenzi this is too much.Duh mkuu afdhali umestukia ndoto za ali nacha.Uchaguzi umekwisha kama kuna hawajaridhika waende mahakamani wakadai haki mengi ni story za kufurahishana haziamliki !!!!.
Michelle, utaweza kuanza safari wakati dereva unamuona amejaa chang'aa kichwani :laugh: , nadhani hapo safari haipo mpaka dereva abadilishwe.Waanze kazi ya kuwatumikia wananchi,manake hawshindwi fika 2015 wakigomea Meya na kusema ndo sababu ya kutotimiza ahadi zao kwa wananchi.....:coffee:
Uchaguzi batili kiasi hicho unapoteza gharama za mahakama. Cha msingi ni kurudia tu uchaguzi wa meya haraka na kuendelea na shughuli. kama SISIMI ilishinda itajulikana. Mbona kuogopa. Au alichakachua? Na Meya batili je akikaa kwenye kiti anaondolewa?
Katika semina elekezi,madiwani wa chadema waibana serikali,kuanzia mkurugenzi tamisemi,RC,DC wakishinikiza ufafanuzi juu ya uchaguzi wa meya.Katika hali ya msisitizo wamemfukuza mkurugenzi wa tamisemi,na msimamo wao ni kutomtambua meya.
Hadi kieleweke
Watamfukuzaje Mkurugenzi wa TAMISEMI wakati wao siyo mamlaka iliyomwajiri?
kafukuzwa kwenye kikao