Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
Madiwani wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamelipuana katika kikao cha Baraza la Madiwani Jiji la Mwanza, baada ya Diwani wa Igoma, Adamu Chagulani kumtuhumu mwenzake wa Kata ya Pamba Samwel Range kuwa ameghushi stakabadhi za kukusanyia malipo katika masoko yaliyopo katika kata yake.
Tafrani hiyo ilizuka jana katika kikao kilichokuwa kinajadili namna ya kupambana na taarifa zilizopo kuwa baadhi ya watendaji si waaminifu katika jiji hilo.
Chagulani, alisema kuwa watendaji hao wamekuwa wakichapisha stakabadhi feki kwa lengo la kuliibia jiji ili lisiweze kupata mapato kwa mujibu wa sheria.
Chanzo cha habari:
Gazeti la Kila siku la RAI, Ijumaa Novemba 8, 2013.
Ukurasa wa 7.
ANGALIZO:
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
Amini amini nawaambia.,chama hiki kina LAANA kutoka kwa mungu mwenyewe...