Madiwani CHADEMA Rombo wakimbiza mwenge

Madiwani CHADEMA Rombo wakimbiza mwenge

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
248
Reaction score
329
Tarehe 30 Nilishangaa sana kuona madiwani wangu watatu wa chadema na katibu wetu wa Chadema wilaya wakiwa wameshona sare za mwenge na kukimbiza Mwenge wa Uhuru tangu kuupokea hadi Mwisho wa wilaya

Nisaidieni sie wakijijini,je sera yetu mpya imekubali kuunga Mkono na kushiriki Mbio za Mwenge wa UHURU? kwa sisi wanachadema?

Maana chama kama kimekufa hivi Rombo

Picha hii ni ya Diwani wa kata ya Makiidi na Mwenyekiti wa BAVICHA WILAYA YA ROMBO
akiufagilia kwa kuushika Mwenge wa Uhuru
Wadau sera mpya nazipata wapi naomba nitumiwe
IMG-20181005-WA0083.jpeg
IMG-20181005-WA0091.jpeg
 
eti wamekimbiza mwenge 😛😛😛, nakumbuka enzi hizo nikiwa shule "kukimbiza mwenge" na "kupoteza kizibo" ilikua na maana ya kushikwa na tumbo la kuharisha, mwalimu akiuliza flani yuko wapi tunajibu 'yuko bwenini anakimbiza mwenge'
 
Warombo siyo Wachaga kama ulikuwa haufahamu!
 
Kwani huo mwenge ni wa ccm peke yao bado najiuliza nyie ccm huwa munajua nini munacho tetea
 
Back
Top Bottom