Weka hata picha tuyaone!
Natumaini Mungu atakujaria wateja pia!Mkuu,ayo madini kazi yake kubwa ni nini?
mrangi ni ngumu sana kupata 'amasist' na pia uwe makini na wapigaji. .huu ukanda wote wa Handeni Kilindi Morogoro Dodoma Tanga mpaka Arusha yanapatikana lakini si kwa volume kubwaMadini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
Wengi huko Asia wanayatumia kama sehemu ya urembo lakini pia kwa wachina ni madini yenye imani za kishirikina kwamba ukiwa nalo nyumbani utafanikiwa kwenye mengi na hutapata mabalaa ya kila wakatiKazi yake ni nini!?
Hahaha juzi nmeuza kg 20,mtu kunipiga Mimi afanye kazi ya ziada hahaha....mrangi ni ngumu sana kupata 'amasist' na pia uwe makini na wapigaji. .huu ukanda wote wa Handeni Kilindi Morogoro Dodoma Tanga mpaka Arusha yanapatikana lakini si kwa volume kubwa
Wengi huko nilikotaja wana samples lakini hawana mzigo
Ni kweli mkuu kwa ukanda wa kilindi amelthyst ipo kwa wingi sema wachimbaji ni wachache sana. Nishawahi kuyafuata hadi sehemu moja wanapaita kwalugulu kwa teacher mmoja maarufu sana wa germstones wanamuita Mwl Fadhili akaishia kunipa sample tu!mrangi ni ngumu sana kupata 'amasist' na pia uwe makini na wapigaji. .huu ukanda wote wa Handeni Kilindi Morogoro Dodoma Tanga mpaka Arusha yanapatikana lakini si kwa volume kubwa
Wengi huko nilikotaja wana samples lakini hawana mzigo
Wachimbaji ni wachache kwa maana ya kuwa order ya amethyst hutokeaga Mara chache Sana...Ni kweli mkuu kwa ukanda wa kilindi amelthyst ipo kwa wingi sema wachimbaji ni wachache sana. Nishawahi kuyafuata hadi sehemu moja wanapaita kwalugulu kwa teacher mmoja maarufu sana wa germstones wanamuita Mwl Fadhili akaishia kunipa sample tu!
Ila kwa sahz jua kali sana kule so ukimfuata anaweza akapata nyoka wengi wa kugonga show na mzigo ukapatikana kwa wingi kiasi chake.
Mkuu mrangi nicheki mida ntafuatilia namba ya mwl fazo nikutumie ubonge naye he might be helpful to you!!
Usiseme Amethyst ya Congo we sema tu Amethyst hafu bei yake mbona ipo chini sanaMadini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
Huyo buyer wako ana dealers licence? Usije mkakamatwa maana zile enzi za kuchepuka zimepita kijanaHahaha juzi nmeuza kg 20,mtu kunipiga Mimi afanye kazi ya ziada hahaha....
Kila mzgo inapatikana kwa wingi kongo na type hayo inatakiwa .....buyer baada ya wiki mbili atasafiiri kwenda Jaipur
Mkuu mm najua kazi yangu hii huwa sibahatishi,Huyo buyer wako ana dealers licence? Usije mkakamatwa maana zile enzi za kuchepuka zimepita kijana
Huyu mteja wako inataka pure au hata yaliyo rough make yule ticha huwa anaya grade katika sampuli mbili tofauti na madini anayajua vya kutosha kadeal nayo zaidi ya miongo mitatu. Bei na soko analijua vizuri.Wachimbaji ni wachache kwa maana ya kuwa order ya amethyst hutokeaga Mara chache Sana...
Mkuu...na buyers wengine wa mawe hata huwa ni mizunguo Sana....ila wa kwangu ni mtakaji Sana
Anayataka kwa UDI na uvumba
Kwani ya Congo inautofauti gani?Ya Congo ndy inatakiwa....nafahamu amethyst nyingi tu za tz....na zinapotoka,kila za Congo ndy inatakiwa
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
Kwa anayehitaji ..Bei ya amethyst imepanda ni 5000 per kg