Madini, Almasi Tanzania.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madini, Almasi Tanzania....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ombeni w lema, Mar 15, 2011.

 1. O

  Ombeni w lema Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi?inakuwaje Tanzania tuwe na reslmali kama madini na almasi.na bado nchi iwe maskini?mbuga,milima,bandari,nk.hivi vyote hela zake zinafanyia kazi gani hasa.
   
 2. K

  Kyeli Lula Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hela zake wanakula wajanja wachache wanaosomesha watoto wao je ya nchi na wao kupata matibabu na huduma nyingine nje ya nchi huku watanzania wakiendelea kula mlo mmoja na watoto wao wakisomea chini kwenye vyumbi huku kukiwa na uhaba wa vitabu na walimu pia inasikitisha sana
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Wanakula mafisadi
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  CCM wanakula hizo pesa
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,978
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wanakula watanzania wanao fanya kazi kwenye migodo hiyo na sehemu zingine...
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,330
  Likes Received: 11,064
  Trophy Points: 280
  kesho wanaandamana kuwasapoti mafisadi.
   
Loading...