Natafuta Zircon yenye rangi ya Petrol.....
Nanunua kwa Kilo....kama unayo njoo in box au nitumie picha kwa Whatsapp na Bei yako!
Whatsapp +255714417641
NB:
Picha iwe Clear, shika piece kadhaa mkononi piga picha.
Weka mzigo wa kutosha kama 1 or 2 kg Mezani piga picha.
Then chukua Video fupi ya Sekunde hata 10, nitumie kwa Whatsapp.
Zircon toka Singida ndo kipaumbele, ila kama una Zircon nyingine nzuri toka Korogwe, Same, Sumbawanga, Tunduru na sehemu nyingine, unaweza kushare na Mimi pia picha za mzigo ulonao.
Thanks.
Taja bei zako...?Natafuta Zircon yenye rangi ya Petrol.....
Nanunua kwa Kilo....kama unayo njoo in box au nitumie picha kwa Whatsapp na Bei yako!
Whatsapp +255714417641
NB:
Picha iwe Clear, shika piece kadhaa mkononi piga picha.
Weka mzigo wa kutosha kama 1 or 2 kg Mezani piga picha.
Then chukua Video fupi ya Sekunde hata 10, nitumie kwa Whatsapp.
Zircon toka Singida ndo kipaumbele, ila kama una Zircon nyingine nzuri toka Korogwe, Same, Sumbawanga, Tunduru na sehemu nyingine, unaweza kushare na Mimi pia picha za mzigo ulonao.
Thanks.
Unawezaje kutoa Offer kwa Jiwe amabalo hujaliona? Hujui quality yake?kuwa open zaidi 1gram kg shs ngapi?
gram 2 kg shs ngap?
mtu asijehangaika kupiga picha na video wakati hailipi. wewe weka bei ubaoni.
Kwa hali hii Hakuna Biashara hapaMkuu kama unajua kuhusu Gems, ni uongo mm kukupa bei bila hata kuona ubora ya mawe ulonayo....
Tuma picha ntakupa offer yangu, au vile wewe unajua ubora wa mawe yako, nipe wewe offer yako, then tutaenda next stage.
Kesho nakupigia sim ntakulink na jamaa yuko kipuma singida.......ni mchimbaji wa siku nyingi na ana deal na zircon...Watu serious huwa hawana maneno mengi MKUU...! Vitendo zaidi.
Zircon ya same ngumu kuipataNatafuta Zircon yenye rangi ya Petrol.....
Nanunua kwa Kilo....kama unayo njoo in box au nitumie picha kwa Whatsapp na Bei yako!
Whatsapp +255714417641
NB:
Picha iwe Clear, shika piece kadhaa mkononi piga picha.
Weka mzigo wa kutosha kama 1 or 2 kg Mezani piga picha.
Then chukua Video fupi ya Sekunde hata 10, nitumie kwa Whatsapp.
Zircon toka Singida ndo kipaumbele, ila kama una Zircon nyingine nzuri toka Korogwe, Same, Sumbawanga, Tunduru na sehemu nyingine, unaweza kushare na Mimi pia picha za mzigo ulonao.
Thanks.
Heshima kwako MKUU, upo sahihi kabisa nataka hiyo hiyo rangi ya Asali....Siku mbili hizi nategemea kuelekea huko Kipuma, kama ukini link na huyo mdau itakua vizuri zaidi......Kesho nakupigia sim ntakulink na jamaa yuko kipuma singida.......ni mchimbaji wa siku nyingi na ana deal na zircon...
Zircon ni ile yenye rangi ya asali
Ova
Sure, nimeambiwa sasa Ulinzi umeimarishwa huko Mkomazi, na mizigo kupatikana ni Mtihani, japo Zircon ya Same ndo the best Zircon and top quality in Tanzania....Zircon ya same ngumu kuipata
Zircon ya same inapatikana mkomazi game Reserve kwenda huko Inabidi uwe mbishi maana yakikukuta utajuta ila mi nshaingia Mara kadhaaaa
Ila ya singida poa,ngja kesho tutayajenga
Utapata kg kadhaaaa
Ova
Ngoja niyajenge naye sahvi hewaniHeshima kwako MKUU, upo sahihi kabisa nataka hiyo hiyo rangi ya Asali....Siku mbili hizi nategemea kuelekea huko Kipuma, kama ukini link na huyo mdau itakua vizuri zaidi......
Thanks.
Mkomazi mm nishaenda sana hko nlikuwa naingi lia same kisiwani ila mbeleni nkashtuka nkajua ntakuja kumbana na balaa nkaachagaSure, nimeambiwa sasa Ulinzi umeimarishwa huko Mkomazi, na mizigo kupatikana ni Mtihani, japo Zircon ya Same ndo the best Zircon and top quality in Tanzania....
Hata nikipata ya Singida sio mbaya, nataka Kilo kadhaa hivi kama 5-10 kwa ajiri ya kucheck soko!
Uko ndani kuna mawe makalio sanaI see, kwani huo Mwamba wake haujatambaa nje ya eneo la game?