Madini aina ya Zircon toka Singida yanahitajika

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,310
Reaction score
7,196
Natafuta Zircon yenye rangi ya Petrol.....
Nanunua kwa Kilo....kama unayo njoo in box au nitumie picha kwa Whatsapp na Bei yako!
Whatsapp +255714417641

NB:
Picha iwe Clear, shika piece kadhaa mkononi piga picha.
Weka mzigo wa kutosha kama 1 or 2 kg Mezani piga picha.
Then chukua Video fupi ya Sekunde hata 10, nitumie kwa Whatsapp.
Zircon toka Singida ndo kipaumbele, ila kama una Zircon nyingine nzuri toka Korogwe, Same, Sumbawanga, Tunduru na sehemu nyingine, unaweza kushare na Mimi pia picha za mzigo ulonao.
Thanks.
 
kuwa open zaidi 1gram kg shs ngapi?
gram 2 kg shs ngap?

mtu asijehangaika kupiga picha na video wakati hailipi. wewe weka bei ubaoni.
 
Taja bei zako...?
 
Unawezaje kutoa Offer kwa Jiwe amabalo hujaliona? Hujui quality yake?
Kwa vile wewe ndo utakua na mzigo wenyewe, na ukijua grade yake, then wewe ndo utoe offer yako per 1 kg.

Otherwise nitumie picha kama nilivyotoa maelekezo then ntakupa price idea per kg.
 
Taja bei zako...?
Mkuu kama unajua kuhusu Gems, ni uongo mm kukupa bei bila hata kuona ubora ya mawe ulonayo....

Tuma picha ntakupa offer yangu, au vile wewe unajua ubora wa mawe yako, nipe wewe offer yako, then tutaenda next stage.
 
Kwa hali hii Hakuna Biashara hapa
 
Watu serious huwa hawana maneno mengi MKUU...! Vitendo zaidi.
Kesho nakupigia sim ntakulink na jamaa yuko kipuma singida.......ni mchimbaji wa siku nyingi na ana deal na zircon...
Zircon ni ile yenye rangi ya asali

Ova
 
Natafuta Zircon yenye rangi ya Petrol.....
Nanunua kwa Kilo....kama unayo njoo in box au nitumie picha kwa Whatsapp na Bei yako!
Whatsapp +255714417641

NB:
Picha iwe Clear, shika piece kadhaa mkononi piga picha.
Weka mzigo wa kutosha kama 1 or 2 kg Mezani piga picha.
Then chukua Video fupi ya Sekunde hata 10, nitumie kwa Whatsapp.
Zircon toka Singida ndo kipaumbele, ila kama una Zircon nyingine nzuri toka Korogwe, Same, Sumbawanga, Tunduru na sehemu nyingine, unaweza kushare na Mimi pia picha za mzigo ulonao.
Thanks.
Zircon ya same ngumu kuipata
Zircon ya same inapatikana mkomazi game Reserve kwenda huko Inabidi uwe mbishi maana yakikukuta utajuta ila mi nshaingia Mara kadhaaaa
Ila ya singida poa,ngja kesho tutayajenga
Utapata kg kadhaaaa

Ova
 
Kesho nakupigia sim ntakulink na jamaa yuko kipuma singida.......ni mchimbaji wa siku nyingi na ana deal na zircon...
Zircon ni ile yenye rangi ya asali

Ova
Heshima kwako MKUU, upo sahihi kabisa nataka hiyo hiyo rangi ya Asali....Siku mbili hizi nategemea kuelekea huko Kipuma, kama ukini link na huyo mdau itakua vizuri zaidi......
Thanks.
 
Zircon ya same ngumu kuipata
Zircon ya same inapatikana mkomazi game Reserve kwenda huko Inabidi uwe mbishi maana yakikukuta utajuta ila mi nshaingia Mara kadhaaaa
Ila ya singida poa,ngja kesho tutayajenga
Utapata kg kadhaaaa

Ova
Sure, nimeambiwa sasa Ulinzi umeimarishwa huko Mkomazi, na mizigo kupatikana ni Mtihani, japo Zircon ya Same ndo the best Zircon and top quality in Tanzania....

Hata nikipata ya Singida sio mbaya, nataka Kilo kadhaa hivi kama 5-10 kwa ajiri ya kucheck soko!
 
Heshima kwako MKUU, upo sahihi kabisa nataka hiyo hiyo rangi ya Asali....Siku mbili hizi nategemea kuelekea huko Kipuma, kama ukini link na huyo mdau itakua vizuri zaidi......
Thanks.
Ngoja niyajenge naye sahvi hewani
Nakupigia kwenye namba yko muda si mrefu
Tujue tutengeneze Mazingira mazuri
Ila jamaa ndy ana deal na zircon sana
Ondoa hofuu

Ova
 
Sure, nimeambiwa sasa Ulinzi umeimarishwa huko Mkomazi, na mizigo kupatikana ni Mtihani, japo Zircon ya Same ndo the best Zircon and top quality in Tanzania....

Hata nikipata ya Singida sio mbaya, nataka Kilo kadhaa hivi kama 5-10 kwa ajiri ya kucheck soko!
Mkomazi mm nishaenda sana hko nlikuwa naingi lia same kisiwani ila mbeleni nkashtuka nkajua ntakuja kumbana na balaa nkaachaga

Ova
 
Ngoja niyajenge naye sahvi hewani
Nakupigia kwenye namba yko muda si mrefu
Tujue tutengeneze Mazingira mazuri
Ila jamaa ndy ana deal na zircon sana
Ondoa hofuu

Ova
Okay....I'm waiting Mkuu.
 
Mkomazi mm nishaenda sana hko nlikuwa naingi lia same kisiwani ila mbeleni nkashtuka nkajua ntakuja kumbana na balaa nkaachaga

Ova
I see, kwani huo Mwamba wake haujatambaa nje ya eneo la game?
 
Uko ndani kuna mawe makalio sana
Mm nlikuwa nafata felsper ya same na Sunstone huko Nna manyoka zangu anaitwa nkurunziza yeye ndy anawapigisha watu kazi
Zircon singida grm 1 ni 8000 mpaka 10000
Ngoja nikuvutie uzi sahv hko Utapata mpaka kg 2 mpaka 3 nguvu yako tu

Ova
 
Nshakutumia # yake ntumie na list zingine kwenye namba yangu mnayotaka

Ova
 
Back
Top Bottom