Madhila ya wanawake

hiyo ya kuzaa kwa uchungu imepitwa na wakati,unadhani wakina kim kardashian au beyonce wanapush,wale kuna sindano wanachomwa pruuu mtoto huyu hapa,hakuna cha uchungu wala babake uchungu
 
hiyo ya kuzaa kwa uchungu imepitwa na wakati,unadhani wakina kim kardashian au beyonce wanapush,wale kuna sindano wanachomwa pruuu mtoto huyu hapa,hakuna cha uchungu wala babake uchungu

Modifications Sawa na kutoa sadaka kwa mpesa
 



Sisters forgive me but i had to repost this plain and well thought fact about women........
 

Na wachambuz wa mambo wanasema unapomtongoza mwanamke yy ndio kaanza i.e kuna sababu iliyokufanya umtongoze.....yani alianza kukushawish umtongoze ww umemalizia tuu! mwanaume hatongoz sehem anayojua atakataliwa hata km majibu ni probability
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…