Madhila ya wanawake

Saidia bila kuhitaji malipo, jitoe kwa ajili ya wengine jifunze kutoa kuliko kupokea kuwa mwema kwa kila mmoja jifunze kusamehe na kuyafanya makosa ya wengine kama funzo kwako.. Hiyo ndio zawadi bora ninayotaka rubii

Point of the day..Watu wengi tunapenda sana kuwa wapokeaji kuliko watoaji. Laiti tungelijua baraka zinazoendana na tendo la utoaji, tungekuwa mbali sana. The same thing kinatokea kwenye mahusiano, kila mtu anakaa asubiri tu kupokea mazuri kutoka kwa mwenzi wake, "asipofanya na me sifanyi". Kwa nini wewe usiwe wa kwanza kuanzisha kitu fulani ambacho unajua kitakuwa chema kwenu wote wawili? Don't expect to get something out of your life/ relationship before putting something into it first"
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu mshana kwa kuwapa hongera
zao hawa viumbe adimu na wa namna yake hapa
duniani.
 
Last edited by a moderator:
Kama huna uvumilivu bhasi umekosa sifa moja adimu mno.....
Bwana Mungu akubariki akupe neema ya kuwa mvumilivu

Ndo kama hivyo hapo mshana jr alipokuwa anajaribu ku analyse inshu ya kuwa wavumilivu...lakini hutaki

Na mengineyo mengi tuu

Yaani sitaki kufanya nini????
 
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.

Mungu wangu....God forbid...! Sikutegemea reply Kama hii, lakini ndani ya ndoa tunaishi maisha mengi
 

Naomba nitoke kidogo nje ya mada husika
magomvi mengi ndani ya MAHUSIANO, talaka nyingi ndani ya ndoa vinatokana na ubinafsi, kujiona bora kuliko mwenzako na kujiona sahihi kuliko mwenzio
 
I wish hizi sifa zingeendana na actions sasa, yaani muamue kutuchukulia as important as you say, daah duniani kungekuwa mahali salama sn.
 
Ila na nyie dada zetu bana msikwazike sana na maneno yetu ya mitandaoni. Mjue humu kuna vitoto, wavulana na wanaume, na wote ni anonymous, so wakati mwingine tuongeayo siyo tumaanishayo. Si mnajua feki life ya maisha ya mitandaoni jamani. So take it easy, wengine wanaongea lolote tu ilimradi ameongea, wengine online ndo sehemu ya kuondolea stress zao, lakini kiuhalisia unakuta haishi na wala hatendi kulingana na maneno yake. Kwa kusema hivyo simaanishi kutetea wanaume au kupuuza malalamiko yenu. Namaanisha msichukulie serious sana tuongeayo online, manake mmeongea mengi (siyo kwenye uzi huu tu) hadi wengine tunajisikia vibaya mnavyolalamika na kutia huruma aisee.

cc atoto, Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:
Ukiumizwa na mwanamke uliyetokea kumpenda basi mtazamo kuhusu wanawake nao hubadilika na kama utakuwa na roho ya kutokusamehe utateseka sana.
 
Teh teh... puppa mdogo wangu njooo bhasi na huku...au ndio hujui kuwa tumekutag
Au vocha huna

nilikuwa sina pesa ya credit af c unajua voda wanatoa MB 1 tu.
uwe unanitoa ata jero jero sio mbaya
 
Last edited by a moderator:

broda mshana jr hapo kwenye DEGREE ZA CHUPI una maana gani? sijakupata well
 
nilikuwa sina pesa ya credit af c unajua voda wanatoa MB 1 tu.
uwe unanitoa ata jero jero sio mbaya

Daaah..
Pole bwana mdogo....ila usiwatamani wake zetu
 
I wish hizi sifa zingeendana na actions sasa, yaani muamue kutuchukulia as important as you say, daah duniani kungekuwa mahali salama sn.

Tatizo wanawake wengine hawana shukrani kabisa, na kuapreciate...kinachofanywa na wanaume kwao...
 
broda mshana jr hapo kwenye DEGREE ZA CHUPI una maana gani? sijakupata well

Wadada waliopitia vasity wanalijua vizuri sana hili, prof ndio ana uamuzi wa kukufelisha au kukufaulisha kulingana na uamuzi wa mlengwa
Sasa mabinti wengi wanaopenda kitonga 👇 wamepata degree kwa njia ya kuchojoa G-string, wenye misimamo wamenyanyasika sana lakini mwishoni wakabaki na Heshima yao, wanawake wanapitia mengi magumu wangekuwa ni watu wa vinyongo Kama sisi Dunia ingekuwa jehanam ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…