Madhila ya wanawake

atoto mimi sijasema kwamba kwa sababu kwenye kuzini kwa sababu anayetupiwa mzigo ni mwanamke peke yake basi mwanaume hajafanya dhambi lakhasha mimi nilichosema ni kwamba ushahidi wa kugundua kuwa huyu kazini unakuwa dhahiri zaidi kwa mwanamke kuliko kwa mwanamume, nilitoa mfano wa mwanamke mwenye ujauzito lakini hana mume hii haihitaji mtabiri kujua kuwa alizini, lakini linapokuja suala la mwanamume ni kwamba mpaka mmkamate papo hapo(fragrante delicito).
sasa ubaya unakuja kwamba hata mtu kakamatwa katika hayo mazingira ya pili shutuma zinamwangukia mwanamke kitu ambacho sikubaliani nacho pia.
 
Last edited by a moderator:

Khaaah!! Hukubaliani nacho vipi wakati tangu awali unatoa lawama tuuu kwa wanawake, na sijaona hata sehemu moja uliyokiri kuwa wote wanatakiwa kulaumiwa kwakuwa wameshiriki dhambi hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.

Na bado unaishi nae!!! La imeniuma sana sikutegemea me kumuongelea hivyo mkewe, wewe unaweza kumpa sumu mkeo pls rudisha ulipomtoa
 

Basi sawa lakini jambo hilo ilitokea asibebeshwe lawama mwanamke tu.
 
Last edited by a moderator:
Khaaah!! Hukubaliani nacho vipi wakati tangu awali unatoa lawama tuuu kwa wanawake, na sijaona hata sehemu moja uliyokiri kuwa wote wanatakiwa kulaumiwa kwakuwa wameshiriki dhambi hiyo?
ukifuatilia vizuri comment yangu haikugusia adhabu ila nilizungumzia ushahidi peke yake mama
 
Mmmmh hata siamini hawa wanaocomment humu kama ndio hawa hawa wanaume wa jf, kama sio wao vile, Heaven Sent umepita huku mpenzi?

Hasanteni kama mmeliona hilo.

Ni wakati wa mabadiliko, tumeanza kubadilika shemeji

Asanteni kwa elimu yenu...ila nyie ndio mmegoma kubadilika
 
Last edited by a moderator:
ukifuatilia vizuri comment yangu haikugusia adhabu ila nilizungumzia ushahidi peke yake mama

Ushahidi wa mimba si ndio!!
Okey na ulipoongelea kuhusu kutembea na waume za watu ushahidi ni nini? Au umesahau ulichoandika? Hebu soma upya yo two posts, ile ya kwanza na ya pili uliyonijibu alafu uniambie zile sio lawama???
 
Ni wakati wa mabadiliko, tumeanza kubadilika shemeji

Asanteni kwa elimu yenu...ila nyie ndio mmegoma kubadilika

Hahahaaaaa!! Tumegomaje sasa bwana shemeji?
 
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.

Mkuu mke wako ni alama ya upendo, achana na fikra za ajabu za hivyo...fikra za hivyo mfikirie mchepuko
 
Nihurumieni kwa kucheka mkuu dogo kigego anatamani hadi Babu zake ati bora kaseme kameshindwa kuvumilia

Teh teh... puppa mdogo wangu njooo bhasi na huku...au ndio hujui kuwa tumekutag
Au vocha huna
 
Last edited by a moderator:
Bwana shemeji basi mie nitakuwa sio mwanamke maana uvumilivu sina kabisaaa, teh teh teh teh!

Kama huna uvumilivu bhasi umekosa sifa moja adimu mno.....
Bwana Mungu akubariki akupe neema ya kuwa mvumilivu
 
Hahahaaaaa!! Tumegomaje sasa bwana shemeji?

Ndo kama hivyo hapo mshana jr alipokuwa anajaribu ku analyse inshu ya kuwa wavumilivu...lakini hutaki

Na mengineyo mengi tuu
 
Basi sawa lakini jambo hilo ilitokea asibebeshwe lawama mwanamke tu.
everlenk shida wanawake mnapenda sana kukubali na kuitumia kauli hii,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni'sasa hapo mtu apewe haki gani wakati ameshanyongwa? na ukiangalia humu malalamiko mengi ya kina dada kwenye huu uzi yame base kwenye hiyo kauli
 
Last edited by a moderator:
ila sometimes wanakera ni balaa,unaweza ukamkata koromeo usiweza kujizuia,ila watamu dah
 
Mmmmh hata siamini hawa wanaocomment humu kama ndio hawa hawa wanaume wa jf, kama sio wao vile, Heaven Sent umepita huku mpenzi?

Hasanteni kama mmeliona hilo.

Hahahah kuna muda wanafanyaga makusudi tu. Wanajua sana thamani ya wanawake walio kwenye maisha yao. Mungu aendelee kuwafungua taratibu taratibu. Tutafika tu
 
Last edited by a moderator:
Cc Heaven Sent
Njoo unisaidie kumjibu huyu mtu maana hilo jibu langu mwenyewe linanitisha.

Boss tunarudi palepale "Hofu ya Mungu". Hivi kama mtu una hofu ya Mungu utafanya makusudi kuzini eti kwa sababu tu hakuna kithibitisho kama umezini? Sisi hatujakuona ukizini na hatuna uthibitisho, lakini Mungu aonaye sirini anakuona

Yani sipati picha mume wangu anacheat afu namuuliza why anijibu " bila yule mwanamke kunikataa me nisingechepuka" eishhhh. Aliyemfata mwenzake na nani? Yani me nachoka jamani khaa ila Mungu yupo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…