Madhila ya wanawake

Saidia bila kuhitaji malipo, jitoe kwa ajili ya wengine jifunze kutoa kuliko kupokea kuwa mwema kwa kila mmoja jifunze kusamehe na kuyafanya makosa ya wengine kama funzo kwako.. Hiyo ndio zawadi bora ninayotaka rubii
akikugea nanihii utakataa?
 
Uvumilivu kwa mwanamke ni jambo la msingi mnoo..hawa watu wakiishiwa uvumilivu dunia haita kalika...
Naamin hata maandiko yanahimiza hivyo..wanawake wanavumilia mengi mnoo..tena mabaya sana...
kipimo changu kikubw kwa mwanamke ni uvumilivu...

Cc atoto ...
 
Last edited by a moderator:
Wengi hawawathamini wanawake huwa hawaoni umuhimu wao ndio maana wanawanyanyasa, nashukuru kwa Muumba anatambua taabu na mateso tunayoyapata ndio maana akatoa msamaha kwa Mwanamke akifa ktk uzazi ni moja kwa moja peponi Mkuu hii ni ktk imani yangu
 

Mlianza kutulaumu Edeni na kukataa ushiriki wenu kwenye ile dhambi(waliambiwa wasitengane) Adamu alichepukia wapi? Alipoulizwa akamlaumu mkewe, kwahiyo sishangai hata hayo uliyoyaandika.
 
Mmmmh hata siamini hawa wanaocomment humu kama ndio hawa hawa wanaume wa jf, kama sio wao vile, Heaven Sent umepita huku mpenzi?

Hasanteni kama mmeliona hilo.
 
Last edited by a moderator:

Bwana shemeji basi mie nitakuwa sio mwanamke maana uvumilivu sina kabisaaa, teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Mlianza kutulaumu Edeni na kukataa ushiriki wenu kwenye ile dhambi(waliambiwa wasitengane) Adamu alichepukia wapi? Alipoulizwa akamlaumu mkewe, kwahiyo sishangai hata hayo uliyoyaandika.
sasa kuna ushahidi gani kuwa huyu mwanaume kazini ? lakini mwanamke ambaye ana mimba lakini hana mume jibu ni lipi? si kazini?
ili nichepupke kwa mwanamke mwingine si lazima anikubalie akikataa kuchepuka kutatokea?
ni kweli kuna madhila mengi lakini la kwenye michepuko na vitu vingine forerunner ni wanawake. ina maana wewe hujawahi kuchepuka na mume wa mtu? kama ulifanya hivyo ulikuwa umemweka kwenye kundi gani huyo mwanamke mwenzio?
 

Vipi aliyebakwa? Na tukigeuza shilling vipi na wewe mwanaume ukasimama katika zamu yako ukaweka msimamo usikubali vishawishi vya mwanamke? Je ni jambo haliwezekaniki?
 

Cc Heaven Sent
Njoo unisaidie kumjibu huyu mtu maana hilo jibu langu mwenyewe linanitisha.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh hata siamini hawa wanaocomment humu kama ndio hawa hawa wanaume wa jf, kama sio wao vile, Heaven Sent umepita huku mpenzi?

Hasanteni kama mmeliona hilo.

Kwa kweli mimi niwashukuru tu wanaume wachache walioliona hilo na kututhamini ,Mungu awabariki sana.
 
Last edited by a moderator:
Vipi aliyebakwa? Na tukigeuza shilling vipi na wewe mwanaume ukasimama katika zamu yako ukaweka msimamo usikubali vishawishi vya mwanamke? Je ni jambo haliwezekaniki?

Yaani huyu hata asikusumbue mke mwenza, anachofanya hapa ni kujifariji tu, kitu ambacho hakitoondoa hali ya kuwa wote wametenda dhambi, hapa anatafuta wa kumuangushia dhambi zake ambazo kwa uono wake wa kibinadamu anakuwa amejipa releaf kwa kuwa hakuna evidence, ila inabaki kuwa hiyo dhambi imefanywa na wote na mtunza evidence zote anajua.
 

Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.
 
Vipi aliyebakwa? Na tukigeuza shilling vipi na wewe mwanaume ukasimama katika zamu yako ukaweka msimamo usikubali vishawishi vya mwanamke? Je ni jambo haliwezekaniki?
everlenk aliyebakwa hilo ni jambo jingine ambalo mimi pia sikubaliani nalo na ni la kupingwa kwa nguvu zote kwa jinsi zote.
kwa swali lako la pili hili lipo na si wanaume wote wanashawishika kama nilivyosema hapo juu hata kwa mwanamke anayeshawishiwa ni lazima aangalie madhara ya vishawishi. na kwa taarifa yenu wanaume walioko kwenye ndoa wanakwepa mishale mingi sana kutunza heshima za wake zao kutoka kwa wanawake wenzenu hivyo na wao hawafanyi tu eti kuwaumiza wake zao au wanawake si kweli.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…