WAKUONDOKA
Member
- Oct 8, 2014
- 46
- 24
Nimekuwa nikipata mgongano hasa ktk kuelewa ukweli kuhusu Afrika na Muafrika mwenyewe.Katika usomaji wangu wa machapisho mbalimbali na majarida Afrika inaonekana ni sehemu anapopatikana mwanadamu bora kbsa kimazingira ya jiogarafia na sayansi.
1.Afrika ndipo sehemu wanapopata jua la utosi kwa maana hata mimea na mazao vinapata virutubisho vya kutosha kwa mlaji kuliko sehemu zingine za Dunia.
2.Binadamu wa Afrika anapata hali zote za hewa kwa vipindi kwa maana joto,baridi na hata mwili wa Afika unapata makuzi bora ktk hali iyo.
3.Uoto wa asili wa mazingira ya Afrika ni bora hauhitaji vitu visivyo asili "artificial" ili mtu Aishi vyema.
4.Afrika ina maliasili na utajiri wa kutosha kwa watu wake kupata ustawi wa kuishi.
Ila nilipata mshtuko kidogo baada ya kusikia taarifa moja ktk VOA kuwa Afrika ndo inaongoza kwa watu wake kuwa na IQ ndogo yani uwezo wa kufikiri kwa Mwafrika ni mdogo ukilinganisha na Mabara mengine.
Nawasilisha nataka nipate mchango wa mawazo ktk andishi hilo ili nijazie Afya zaidi ya fikra zangu.
Watu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
Hakuna kitu kama IQ, iyo ni conspirancy imewekwa ikashadadiwa ili kuhalalisha ubaguzi, haswa kwa mtu mweusi. Mtu mweusi ndio mwanzilishi wa mahesabu, maandishi, irrigation, agriculture, hunting, architecture etc. Hiyo iq yake imekuwaje ikawa ni the lowest, na tulivo mbulula kila kinachosemwa na wazungu tunachukua na kuamini na kusambaza ujumbe, ofcoz ni kwa sababu mtu anaefanana na Mungu ndio kasema, kwa iyo hakuna kuuliza. Stupid.
Hakuna mtu anaeweza kupima uwezo wa kufikiri wa mwanadamu. Mtu aje hapa aelezee wanapimaje iyo iq
Mkuu naweza kuwa nakubaliana na we!!lakini je mbona nchi zetu zmekua kituko,maisha yetu ya wasiwasi mipango yetu haina nyuma wala mbele!! Nchi zetu zna kila kitu lakin kila SKU tunaomba misaada,viongoz wa afrika kaz kuficha pesa nje,mipango yao n ya miaka mi5 tena ya kukurupuka!! Nafikiri hata wazungu wamekaa pemben wanatucheka. ...shida nn apoHakuna kitu kama IQ, iyo ni conspirancy imewekwa ikashadadiwa ili kuhalalisha ubaguzi, haswa kwa mtu mweusi. Mtu mweusi ndio mwanzilishi wa mahesabu, maandishi, irrigation, agriculture, hunting, architecture etc. Hiyo iq yake imekuwaje ikawa ni the lowest, na tulivo mbulula kila kinachosemwa na wazungu tunachukua na kuamini na kusambaza ujumbe, ofcoz ni kwa sababu mtu anaefanana na Mungu ndio kasema, kwa iyo hakuna kuuliza. Stupid.
Hakuna mtu anaeweza kupima uwezo wa kufikiri wa mwanadamu. Mtu aje hapa aelezee wanapimaje iyo iq
BT akil ndo inadetermine ufanyaji wa mambo na outcome zake!! Kila kitu ukitumia akili outcome lazma nzuriIQ is a very useless measure...binadamu tuna uwezo tofauti ktk kila jambo...huwezi mchukua mbuzi na samaki ukawashindanisha kuogelea kwa kutumia kizio kimoja,samaki atashinda tu,ukiwashindanisha kutoa maziwa mbuzi atashinda tu....IQ ndio inashindanisha wanadamu built for different geniuses kwa kutumia kizio kimoja....huu ni ukichaa kiwango cha lami
Mababu zetu ndio waliolifikisha bara letu hapa lilipo, kwa kuturithisha mambo yasiyo na tija. Hao jamaa mnaowaita wazungu babu zao walifanya jambo. Hawakubweteka. Ila katika ishu ya iQ, no body can measure my thinkn capacity.Watu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
How Does The IQ Test Work?
The IQ test consists of a number of tasks measuring various measures of intelligence including short-term memory, analytical thinking, mathematical ability and spatial recognition. Like all IQ tests it does not attempt to measure the amount of information you have learned but rather your capacity to learn. Once you've provided your answers we compare your results to people of your age and then we provide a normalized score. Normalized scoring can be difficult to understand for those without a background in statistics. It's best to think of your score as a number which represents your IQ compared to others, not as a measure of intelligence. Normalizing means the average IQ score is 100. How far you fall either side of this number determines roughly how unusual your IQ is. Only 2% of the population have an IQ greater than 128. Half of the population have an IQ score between 85 and 115.