Madhara yatokanayo na mionzi ya minara ya simu.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,829
Siku za hivi karibuni makampuni ya simu yamekuwa yakisimika karibu kila mahali minara yao ya mawasiliano ili kufanya mawasiliano yawe rahisi na ya uhakika.
Mitaani kumejaa minara, pembezoni mwa barabara imejaa minara, yaani kila sehemu ni minara mtindo mmoja.
Je mionzi ya minara hii inamadhara gani??
 
Nina professor mmoja wa mambo haya, anasema simu yako ya mkononi ndo uwe una wasiwasi nayo zaidi kuliko hizo towers sababu ya ukaribu wake na mwili.
 
Back
Top Bottom